Ufafanuzi Kwanini Simba walipie gharama za viti uwanja wataifa

Pesa za ulinzi wanazolipwa polisi kwa ajili ya usalama zinaenda wapi si serikalini.
Askari wamekamata hata shabiki mmoja kwa kufanya fujo.
Serikali ingeanza kushugulika na polisi kwa kuzuia mgao wao kwa sababu hawakutekeleza wajibu wao ipasavyo..
 
Kuna mashabiki mamluki wengi walikuwa nao upande huo.
Subirini camera zitawaumbua tu
 
Simba wawe na Furaha ya ushindi kisha wafanye fujo na kuvunja viti ?!
Uwezekano mkubwa ni upande wa waliofungwa hasira kumalizia kwenye kuvunja viti.
Waangalie kwenye cameras
 
Nikajua umetoa maoni hayo, kwa mujibu wa Utanzania, na uanamichezo wako! Kumbe "UMESUKUMWA" na UTOPOLO wako!
Ndio mkuu .. uzalendo kwanza kwa nchi...fikiria pesa zilizotumika kujenga uwanja ...then poor makolo waje kuharibu
 
Simba wawe na Furaha ya ushindi kisha wafanye fujo na kuvunja viti ?!
Uwezekano mkubwa ni upande wa waliofungwa hasira kumalizia kwenye kuvunja viti.
Waangalie kwenye cameras
Kwamba Waarabu walivaa jezi za makolo
 
Turudi kwenye matokeo ya uwanjani ya Dar na Lubumbashi
sasa mzee baba matokeo ya CAFCL utalinganisha na ya LOOSER CUP. au niambie ni lini ulienda DRC ukaambulia hata sare dhidi ya TP MAZEMBE?
 
sasa mzee baba matokeo ya CAFCL utalinganisha na ya LOOSER CUP. au niambie ni lini ulienda DRC ukaambulia hata sare dhidi ya TP MAZEMBE?
Wala haujaambiwa ulinganishe. Nimekwambia tu turudi kwenye matokeo ya mechi, sasa utaamua mwenyewe ni yapi umechagua kutujulisha 😀😀 😀
 
Hao niliowa'bold pamoja na wewe wote hamna akili... kama mnazo basi mnatumia za Bambo🤒🤒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…