Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo alipobanwa Sana akatunga hii AyaAlipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.
Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Kabla hatujaenda huko mbali tuambizane hawa wa hapa kwetu wamefanya nini zaidi ya mazingaombwe na kukusanya fedha kutoka kwa watazamajiJe Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Muhammad, Quran 80; 1. Alikunja kipaji na akageuka2. Kwa sababu alimjia kipofu!Alimponya macho ya Sayyidina Ally aliekua akisumbuliwa na tatizo la kuona na akaona
muhammad ameua watu 8 kwaMtume Muhammad SAW ni mpole sana na mkarimu sana.
Aliliona JUA likizama kwenye tope jeusi, aligawanya MWEZI mara mbili kipande kikaangukia Saudia ingawa hakijawahi kuonekana!!!Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa
3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua
4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu
5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika
6. Paulo: aliponya walougua
7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.
8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.
9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.
10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.
Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.
Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.
Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.
Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Mi muujiza ni kule kuoa kitoto cha miaka 9.Ni tofauti kabisa na hivyo vitabu ulivyovitaja:
Lakini Qur'an si kitabu cha sayansi, bali ni kitabu cha ishara. Ukweli mwingi wa kisayansi ambao unaonyeshwa kwa njia fupi sana na ya kina katika mistari yake umegunduliwa tu na teknolojia ya karne ya 20. Ukweli huu haungeweza kujulikana wakati wa ufunuo wa Qur'an, na hii bado ni uthibitisho zaidi kwamba Qur'an ni neno la Mungu.
Ili kuelewa muujiza wa kisayansi wa Qur'an, ni lazima kwanza tuangalie kiwango cha sayansi wakati ambapo kitabu hiki kitakatifu kilifunuliwa.
Katika karne ya 7, wakati Qur'an ilipofunuliwa, jamii ya Waarabu ilikuwa na imani nyingi za kishirikina na zisizo na msingi ambapo masuala ya kisayansi yalikuwa yanahusika. Kukosa teknolojia ya kuchunguza ulimwengu na asili, Waarabu hawa wa mapema waliamini katika hadithi zilizorithiwa kutoka vizazi vilivyopita. Walidhani, kwa mfano, kwamba milima iliunga mkono anga hapo juu. Waliamini kwamba dunia ilikuwa tambarare na kwamba kulikuwa na milima mirefu katika ncha zake zote mbili. Ilifikiriwa kwamba milima hii ilikuwa nguzo ambazo ziliweka kuba ya mbinguni juu.
Hata hivyo, imani hizi zote za kishirikina za jamii ya Kiarabu ziliondolewa na Qur'an. Katika Sura ya 2, aya ya 38, ilisemwa: "Mungu ndiye aliyeziinua mbingu bila msaada wowote..." (Quran, 2:<>). Aya hii ilibatilisha imani kwamba mbingu inabaki juu kwa sababu ya milima. Katika masomo mengine mengi, ukweli muhimu ulifunuliwa wakati ambapo hakuna mtu angeweza kuzijua. Qur'an ambayo iliteremshwa katika wakati ambapo watu walijua kidogo sana kuhusu unajimu, fizikia, au biolojia, ina ukweli muhimu juu ya mambo mbalimbali kama vile uumbaji wa ulimwengu, uumbaji wa mwanadamu, muundo wa anga, na mizani maridadi ambayo hufanya maisha duniani yawezekane.
Sasa, hebu tuangalie baadhi ya miujiza hii ya kisayansi iliyofunuliwa katika Qur'an pamoja.
- Hali ya hewa ya dunia
- Quran juu ya Maendeleo ya Embryonic ya Binadamu
- Quran juu ya milima
- Quran juu ya Asili ya Ulimwengu
- Quran juu ya Cerebrum
- Qur'an juu ya bahari na mito
- Quran juu ya bahari ya kina na mawimbi ya ndani
- Qur'an juu ya mawingu
- Maoni ya wanasayansi juu ya miujiza ya kisayansi katika Quran Tukufu
- Muujiza wa Iron
- Quran juu ya Ulimwengu wa Kupanua na Nadharia ya Big Bang
- Ushindi wa Warumi na hatua ya chini kabisa duniani
- Saba ya Dunia
Ameandaa wanawake 70 huko Akhera wanaitwa mahurulaini, so ukifa ktk dini hiyo unakutana na wanawake warembo 70 huko MbinguniManabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa
3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua
4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu
5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika
6. Paulo: aliponya walougua
7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.
8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.
9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.
10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.
Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.
Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.
Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.
Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Ukionyeshwa miujiza au ukiambiwa utamuamini?yesu mussa na wengine walitenda miujiza lakini amkuwaamini mkaishia kumuita yesu mungu na huyo shoga wenu kumuita mtume,nyiyi mnacho amini ni mazingaombwe makanisani kwenu hukoManabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa
3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua
4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu
5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika
6. Paulo: aliponya walougua
7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.
8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.
9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.
10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.
Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.
Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.
Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.
Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Unajua kuoa wake wengi ni miujiza tosha.Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Mudi Msanii alifanya Muujiza wa Kuoa Katoto Ka Miaka 9Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.