UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

Huu ni mwendelezo wa kanza mbaya sana inayotafuna bara la africa( dini)
 
Aliwahi kufanya miujiza mmoja wa kujifficha pangoni alipokuwa anataka kuuawa, buibui wakamsitiri kwa kujenga utando juu ya pango ili asionekane, lakini mjusi mwenye rangi nyekundu na blue akawa anapiga pushap kuelekezea kichwa alipojificha. Mpaka Leo mjusi huyo huitwa MJUSI KAFIRI na huwindwa na vijana na manati kwenye mawe hasa wakati wa mfungo ikisemekana kadiri wanavyowauwa wengi Ndipo nafasi Yao ya peponi inavyoongezeka
 
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Acha uongo alipobanwa Sana akatunga hii Aya
Koran 10:20. Na wanasema: Kwa nini hakuteremshiwa Ishara kutoka kwa Mola wake Mlezi? Sema: Mambo ya ghaibu ni ya Mwenyezi Mungu. Basi nyinyi ngojeni, na mimi ni pamoja nanyi katika wanao ngojea
 
Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Kabla hatujaenda huko mbali tuambizane hawa wa hapa kwetu wamefanya nini zaidi ya mazingaombwe na kukusanya fedha kutoka kwa watazamaji
 
Koran 17:59 "And We refrain from sending the signs, only because the men of former generations treated them as false."

Watu walimbana muhammad kwa nini hana muujiza WOWOTE , Allah akashusha Aya akasema muhammad hana muujiza yeye ni muonyaji tu

13:7 Jalal - Al-JalalaynAnd those who disbelieve say, ‘Why has not some sign been sent down upon him, upon Muhammad (s), from his Lord!’, the like of the staff and the [glowing] hand, or the she-camel. God, exalted be He, says: You are only a warner, one to threaten the disbelievers, for it is not your duty to bring forth signs
 
Muujiza wa Muhammad wa kunywa mkojo wa ngamia

Muhammad aliwanywesha mkojo wa ngamia akadai ni dawa

The climate of Medina did not suit some people, so the Prophet (ﷺ) ordered them to follow his shepherd, i.e. his camels, and drink their milk and urine (as a medicine). So they followed the shepherd that is the camels and drank their milk and urine till their bodies became healthy. ...................; Sunan ibn Majah Hadith 3632 ; Sunan an-Nasa'i 4024 ].
 
Muhamadi aliupasua mwezi na ndio maana Hadi Leo mwezi upo na alama
 
Mtume Muhammad SAW ni mpole sana na mkarimu sana.
muhammad ameua watu 8 kwa
Kukata mikono yote miwili
Kutoboa macho yote kwa kutumia misumari iliyo yamoto
Kuwaacha na kiu mpaka wakafa

Nukuu sahih
Muhammad
... he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and they were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died Sahih al-Bukhari, Volume 4, Book 52, Number 261
 
Aliliona JUA likizama kwenye tope jeusi, aligawanya MWEZI mara mbili kipande kikaangukia Saudia ingawa hakijawahi kuonekana!!!
 
Mi muujiza ni kule kuoa kitoto cha miaka 9.
 
Ameandaa wanawake 70 huko Akhera wanaitwa mahurulaini, so ukifa ktk dini hiyo unakutana na wanawake warembo 70 huko Mbinguni
 
Muujiza mkubwa wa Muhammad ni yeye kuzaliwa miaka 4 baada ya baba yake kufariki
 
1 Alikula ngawira
2.alioa binti wa miaka 9,hii nayo Ni miracle
3.bandit style ya kula ngawira
4.alishusha mwezi
5. Alipanda kiumbe mwenye sura ya kike kwenda jerusalemi
6.alirogwa nao huu Ni muujiza
 
Ukionyeshwa miujiza au ukiambiwa utamuamini?yesu mussa na wengine walitenda miujiza lakini amkuwaamini mkaishia kumuita yesu mungu na huyo shoga wenu kumuita mtume,nyiyi mnacho amini ni mazingaombwe makanisani kwenu huko
 
Mudi Msanii alifanya Muujiza wa Kuoa Katoto Ka Miaka 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…