UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

Wewe wacha UONGO. Utasemaje Mohammad alifanya miujiza wakati Quran Ayat 17:59 ALLAH anasema aliacha kuleta miujiza kwa sababu kila alipowatuma mitume wake wa zamani kufanya hiyo miujiza wanadamu hawakuiamini? Na kwamba miujiza wa mwisho ilikuwa pale alipowaletea A SHE CAMEL. Ukija kusoma Ayat 7:73-75 unaona miujiza huu wa she camel uliletwa na nabii Salih
Lakini ukisoma Sahih Muslim Hadith 5835 Mtume Mohammad anasema baada ya Yesu hapajawahi tokea prophet mwingine yeyote, mpaka alipotokea Mtume Mohammad. Hivyo prophet Salih alikuwepo kabla ya Yesu. Na swali jingine unajiuliza hivi Mtume Mohammad alikuwa na akili kweli? Kwani kwa maneno haya itamaanisha pia Yesu hakufanya miujiza 🙃🙃
View attachment 2817950
ACHA KUZUSHA KAMA HUJUI ENGLISH BASI ACHA NIKULETEE KWA KISWAHILI
17:59 Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha.
Mungu kasema hapana (nothing) kwamba hakuna kinachomzuia kuleta miujiza....pia katoa mfano kwamba alishaleta miujuza kabla ila bado watu waliikanusha na ametoa mfano wa muujiza wa ngamia wa nabii swalehe kama mfano wa miujiza hiyo ambayo watu waliikanusha lakini amesema kauli imebaki palepale kwamba HAPANA/HAKUNA KITAKACHOMZUIA YEYE KUTOA MUUJIZA AKITAKA KUFANYA HIVYO.Katika aya hiyo hakuna neno aliacha kuleta miujiza kama ulivyosema yaani hakuna neno nimeacha bali kuna neno hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza.

1700560284125.png

1700560628832.png

HADITHI uliyoitoa Sahih Muslim Hadith 5835 ipo sahihi na huo ndio ukweli hivyo sijaona tatizo lolote juu hadithi iyo kama ulivyonukuu kwa ufupi kwamba kuhusu mtume Saleh ni wanyuma kabisa katika mitume kwamba baada ya Issa(Yesu) aliyefuata ni Muhammad sijaona tatizo katika hilo.
Kwamba yesu hakufanya miujiza sio sahihi kwa kutumia uelewa/tafsiri mbaya juu ya aya iyo kwnai hakuna fundisho lolote lisemalo Issa (Yesu) Hakufanya miujiza ila kuna kuna mafundisho kwamba alifanya miujiza kwa idhini ya mwenyezi mungu.Waweza jionea baadhi yake kwenye aya hii.
5:110 Na pale Mwenyezi Mungu atapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Kumbuka neema yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa Roho Takatifu, ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani. Na nilivyo kufunza kuandika na hikima na Taurati na Injili. Na ulipo tengeneza udongo sura ya ndege, kwa idhini yangu, kisha ukapuliza ikawa ndege kwa idhini yangu; na ulipo waponesha vipofu na wakoma kwa idhini yangu; na ulipo wafufua wafu kwa idhini yangu; na nilipo kukinga na Wana wa Israili ulipo wajia na hoja zilizo wazi, na wakasema walio kufuru miongoni mwao: Haya si lolote ila ni uchawi mtupu!.
 
View attachment 2820633
View attachment 2820641

hizo hadisi ndio zile mtoto wa mfalme saudia alisema hazina uhakika na zinatakiwa kuwa neglected?
 
sijakuelewa but nijuacho dini haiongozwi/kufuatwa toka kwa mtoto wa mfalme bali hufuatwa kwa kurejea quran na hadithi sahihi katika vitabu vinne kama hadithi aliyotoa kwamba ipo katika alizozisema uyo mtoto wa mfalme sijui ila hatufuati toka kwa mtoto wa mfalme wala mfalme mwenyewe.
 
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Wakati wa Mtume hii Quran uijuayo ilikuwa haijawekwa katika kitabu kimoja kama tunavyoiona leo. Zilikuwepo patches za aya hapa na pale zimeandikwa kwenye magome, ngozi n.k lakini siyo kitabu kimoja cha Quran kama ukijuavyo.

Sasa mtume aliwaonesha nini hao waliomuuliza? Au aliwaonesha hizo aya?
 
ACHA KUZUSHA KAMA HUJUI ENGLISH BASI ACHA NIKULETEE KWA KISWAHILI
17:59 Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha.
Mungu kasema hapana (nothing) kwamba hakuna kinachomzuia kuleta miujiza....pia katoa mfano kwamba alishaleta miujuza kabla ila bado watu waliikanusha na ametoa mfano wa muujiza wa ngamia wa nabii swalehe kama mfano wa miujiza hiyo ambayo watu waliikanusha lakini amesema kauli imebaki palepale kwamba HAPANA/HAKUNA KITAKACHOMZUIA YEYE KUTOA MUUJIZA AKITAKA KUFANYA HIVYO.Katika aya hiyo hakuna neno aliacha kuleta miujiza kama ulivyosema yaani hakuna neno nimeacha bali kuna neno hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza.

View attachment 2820633
View attachment 2820641
HADITHI uliyoitoa Sahih Muslim Hadith 5835 ipo sahihi na huo ndio ukweli hivyo sijaona tatizo lolote juu hadithi iyo kama ulivyonukuu kwa ufupi kwamba kuhusu mtume Saleh ni wanyuma kabisa katika mitume kwamba baada ya Issa(Yesu) aliyefuata ni Muhammad sijaona tatizo katika hilo.
Kwamba yesu hakufanya miujiza sio sahihi kwa kutumia uelewa/tafsiri mbaya juu ya aya iyo kwnai hakuna fundisho lolote lisemalo Issa (Yesu) Hakufanya miujiza ila kuna kuna mafundisho kwamba alifanya miujiza kwa idhini ya mwenyezi mungu.Waweza jionea baadhi yake kwenye aya hii.
5:110 Na pale Mwenyezi Mungu atapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Kumbuka neema yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa Roho Takatifu, ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani. Na nilivyo kufunza kuandika na hikima na Taurati na Injili. Na ulipo tengeneza udongo sura ya ndege, kwa idhini yangu, kisha ukapuliza ikawa ndege kwa idhini yangu; na ulipo waponesha vipofu na wakoma kwa idhini yangu; na ulipo wafufua wafu kwa idhini yangu; na nilipo kukinga na Wana wa Israili ulipo wajia na hoja zilizo wazi, na wakasema walio kufuru miongoni mwao: Haya si lolote ila ni uchawi mtupu!.
Sasa ndiyo umezungumza nini hapo kwa mfano!!!?? Maana Mara ya mwisho kulingana na Quran, Allah kutuma Mtume Wake afanye muujiza ilikuwa ni muujiza wa she camel wakati wa Mtume Sahil. Na kwa kuwa Mohammad mwenyewe asema tokea Yesu aje, mpaka mwaka 500/600 wakati Mohammad anakuja Allah hakuleta Mtume mwingine yeyote. Hivyo conclusion inakuwa Allah aliacha kuleta miujiza kabla ya Yesu kuja. UONGO, KWANI YESU ALIFANYA MIUJIZA
 
ndugu unaelewa mana ya maneno haya hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza naona nakuelekeza kwamba iyo aya umeielewa vibaya ijapo ipo wazi tu wakati kila kitu wakiona hapo kwa kiswahili.Ivi hujui unaoneka mzushi tu mana maneno yapo wazi nashangaa unazidi kukomalia lililo wazi kabisa.Labda nikudadavulie kwa mnyumbuliko.
hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza =hakuna kinachotuzuia kupeleka miujiza
hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza =hakuna kinachotuzuia kufanya miujiza
Kuhusu yesu kufanya miujiza nimekuwekea na aya nayo huioni
 
Wewe ndiyo hauujui kiingereza labda tupate mtu neutral aamue hili suala. English version
" Nothing keeps Us from sending the ˹demanded˺ signs except that they had ˹already˺ been denied by earlier peoples. And We gave Thamûd the she-camel as a clear sign, but they wrongfully rejected it.1 We only send the signs as a warning."
Hii hapa Allah anachosema ni kuwa hiyo MIUJIZA AMBAYO apparently watu walikuwa wanamdai Mtume Mohammad aifanye, yeye Allah na washirika wake anasema hamna kinachowazuia (kwa maana nyingine wanauwezo huo wa kuleta miujiza) isipokuwa watu wa nyakati za nyuma waliikataa!! na hata walipoleta muujiza ikiwa kama yule she camel walimtendea vibaya. Kwa sasa wanaleta miujiza kama onyo.
Yaani kwa kifupi ALLAH asema ingawa uwezo anao, haoni umuhimu wa kuleta miujiza kwa sababu watu waliisha ikataa.
Bisha sasa !
 
ok
 
Quran pekee ni muujiza tayar imetaja matukio ya mbeleni,mungu hakumqa muhammad miujiza ila yapo yanayosemwa kuwa mwezi n.k ila kabla ya sayansi kukua jua lilisemejakana limesimama na halitembeai ila quran imedhirisha imetembea.
 
Watu wanatumia uchawi kufany miujiza kwa kutumilia viumbe muhammad kafanyiwa visa ving na akaviepuka na aliitwa mchawi.
 
Muhammadi hajawahi kufanya muujiza wowote kwakuwa hakuwa na nguvu za Kimungu.
Case Closed.
 
Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.

2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa

3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua

4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu

5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika

6. Paulo: aliponya walougua

7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.

8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.

9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.

10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.

Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.

Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.

Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.

Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Hayo yote uliyotaja ni mazingaombwe na hadithi mapokeo tu, hakuna muujiza wowote hapo.
 
Uzi wa hovyo Sana huu, nakereka kuona mtu anaanzisha Uzi ili mwisho wa yote iwe ni kuukashifu uislam, waanzishaji hujiona wanaakili Sana hovyo kabisa, ukishaambiwa hiyo miujiza utaiamini?
 
Siki zote

Napenda niwafahamishe juu ya jambo hilo kama ifuatavyo:-

1. Miujiza yote ya Manabii au Mitume wanaokuwa wanahudumu kwa wakati uliopo mara nyingi kama sio mara zote hutangazwa na wale waliowaona na si Mwenyezi Mungu na Mwenyezi Mungu hutangaza miujiza ya wale Manabii au Mitume waliopita ili Naibu au Mtume aliopo sasa na watu wake wajifunze , kwa hoja hiyo HATA MIUJIZA YA YESU KWA MFANO IMESIMULIWA NA WANAFUNZI WAKE NA SI MWENYEZI MUNGU(hapa ni kwenye bibilia) na Muhammad anasimuliwa ili ajifunze.

Asante.

Hivyo basi hata ukitaka kujua miujiza ya Muhammad angalia nini wanafunzi wake wanasimulia na hapa ndio utaona kwenye Hadithi za Mtume Muhammad.
 
Back
Top Bottom