Ufafanuzi: Ndefu au Fupi, ipi tamu?

Ufafanuzi: Ndefu au Fupi, ipi tamu?

Ndefu + pesa, fupi + pesa = tamu.

Kimoja kikipungua hapo, tusidanganyane.
 
Anamaanisha mkuyenge alafu anazuga ni mada

tehteh . isiwe ndefu Ile ya sanaaaaaaaaa ya kuchosha au kuumia make Kuna mada ndefu sana hadi zinaumiza jamani!! !! ila ijazie jazie fulani hivihivi minofu nini unasoma ukibirudika nafsi yako haha ndo inaleta stimu.. make Kuna mada ukisoma hata haivuttii afu iwe strong enough teh

Cc Smart911
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwa iyo mada ikiwa haijajaa vizuri inakua haina mvuto
 
tehteh . isiwe ndefu Ile ya sanaaaaaaaaa ya kuchosha au kuumia make Kuna mada ndefu sana hadi zinaumiza jamani!! !! ila ijazie jazie fulani hivihivi minofu nini unasoma ukibirudika nafsi yako haha ndo inaleta stimu.. make Kuna mada ukisoma hata haivuttii afu iwe strong enough teh

Cc Smart911
Lakini mwasemaga zile ndefu sana ndo nzuri maana unaisoma na kuielewa vizuri kilichomo
 
Back
Top Bottom