Ufafanuzi: Ndefu au Fupi, ipi tamu?

Ufafanuzi: Ndefu au Fupi, ipi tamu?

tehteh . isiwe ndefu Ile ya sanaaaaaaaaa ya kuchosha au kuumia make Kuna mada ndefu sana hadi zinaumiza jamani!! !! ila ijazie jazie fulani hivihivi minofu nini unasoma ukibirudika nafsi yako haha ndo inaleta stimu.. make Kuna mada ukisoma hata haivuttii afu iwe strong enough teh


Cc Smart911
mada yenye minofu hahahh u made ma day
 
Back
Top Bottom