Ufafanuzi please!

Ufafanuzi please!

Edgar 8900

Member
Joined
Jun 8, 2022
Posts
24
Reaction score
9
Kuna kozi mpya inaitwa BACHELOR DEGREE IN AGRIBUSINESS MANAGEMENT AND TECHNOLOGY pale MUST mwenye uelewa anisaidie
 
Nafikiri agribusiness inajikita zaidi katika masuala ya biashara zaidi kama usambazaji wa mbegu,farm machinery utengenezaji
Na pia chemicals kama mbolea
Sijasomea kilimo ila nimewazia tu
 
Angalia kama wameingiza kwenye prospectus yao. Vinginevyo waandikie uombe curriculum yao ili ujue ndani kuna nini.
 
Back
Top Bottom