Ufafanuzi: Simba wamemfunga mwarabu toleo la mwisho

Ni Busara Zaidi Kama Ungefanikiwa Kukaa Kimya Lakini Ndio Hivyo Yeye Mwenye Uwezo Ameruhusu Litokee Nasi Hatuna Budi Kushukuru Na Hili Pia Kutoka Kwako
 
Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie
Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao .....

Kiuhalisia ....Simba wamewafunga waarabu Koko ( toleo la mwisho) sio pure waarabu View attachment 3194054
Wale Al hilal ya Sudan ambao hawana hata ligi kwao ni waarabu gani?
 
Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie
Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao .....

Kiuhalisia ....Simba wamewafunga waarabu Koko ( toleo la mwisho) sio pure waarabu s

Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie
Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao .....

Kiuhalisia ....Simba wamewafunga waarabu Koko ( toleo la mwisho) sio pure waarabu View attachment 3194054
Ukishaona kijana kabalee na anamshabikia Muarabu. Inaumiza sana hasa sisi wakongwe.
 
Back
Top Bottom