Wadau habarini!
nimepata barua jana toka utumishi; wamenipa check namba na kunishauri niombe sekretarieti ya ajira au taasisi yoyote inayohusika na ajira serikalini ili waweze kunipangia kazi kulingana na mahitaji yaliyopo. Swali je watakuwa na connection gani ya kutambua kwamba nimeomba? ili wanipangie kituo au natakiwa niwataarifu pindi nitakapoomba? Tafadhali naomba ufafanuzi.