shemeji yako educated, umemsahau?Mwali umeanza kuuliza maswali kweli?
Nimeuliza umeolewa dada?
Uchokozi huo
Tusubiri mwaafaka mkuu. Tunza vyeti vyako kama bado haujaoa.
A smart /educated man??
From What I know..smart is self-taught....It has nothing to do with high ranked certificates.
Does "smart" equal "educated".......
Umeshaanza kuniacha Karucee pale juu tumekubaliana any smart man...
Now waniambia Accountants hola kwako.
Sasa hapa ndipo ninapopotea...mfano nikiona mdada kaweka bandiko la educated man kama kigezo love connect huwa nasita kwenda.
Kwasababu hizi hizi.
Nimeshapata majibu ya maswali yangu. ...asante Kaka.Naona umeshaanza.
Kama unanguvu ya kutituliza mori wangu endelea.
Haya mama.
Karibu tena..naenda kuweka uzi kule connect jiandae uwe wa kwanza kabla haujapoa.
Aika kyekueeeNafikiri mie hainihusu hii, mbesa tu inatosha.