Ufafanuzi tafadhali.

Ufafanuzi tafadhali.

Asalaaam.

Wanawake na wanaume wanaotaka kujibu.[wanaowaelewa]

Najua mnashughuli nyingi mpo busy ila tunahitaji ufafanuzi hapa tafadhali kisha mtaendelea na majukumu.

Hivi mnaposema mnahitaji mwanaume educated! Nimepata mwanaume educated.

Mnamaanisha nini!

Yaani aliyeelimika au aliyeenda vidato vingi. Tunauliza maana tusio na shule tunaweza kuwa tunajipa moyo mnamaanisha walioelimika kumbe mnahitaji vyeti vya madegree viwekwe mezani.

NB: kwenye majibu msisahau kuambatanisha na level tunayostahili kuitwa tumeelimika.

Asalaaam.
Dah...bosi Kuna mahali umeulizwa cheti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio Mimi wao.....we huonagi matangazo ya kutafuta mume na mke humu yanavyokuwaga????

Mtu anakwambia nahitaji mwanaume mwenye umri Fulani
Elimu awe na digrii au masta .......unadhani ingekua anatafutwa aliyeelimika kwa maana ya mwenye uwezo wa kuchanganua jambo kwa usahihi na kulifanyia maamuzi sahihi ingeandikwa neno digrii???? Wapo form 4 ambao wako vizuri kichwani lakini tangazo linataka digrii hii maana yake vinatafutwa vyeti
Umeeleza vyema.

Eeeh..tuje kwako sasa...weye wataka upi.
 
Educated vs Schooled
Unaweza kuwa educated bila kupita kwenye majengo ya shule au chuo ila kupitia mitandao..kuchangamana na watu ..
Basi neno educated wanalitumia visivyo.

Pita connect utakuja kuniambia.
 
Mwenyewe nasubiria jibu sielewagi kabisaaa mimi...


Au ndo wale, usimuone hivyo ni mwanasheria!
Kwa hiyo superstar wewe kwenye vigezo vyako vya le superstar lako hakuna hiki pendwa cha educatef?
 
Educated girls always wanahitaji educated boys ...schooled hawa Mara nyingi huwa hawaelewi kama wanahitaji educated boy au uneducated ila awe vizuri financially...wale girlz ambao ni uneducated and unschooled hawa huhitaji tu mwanaume kwahiyo hapa sifa ni jinsi me tyu
Tehtehteh
 
Mimi sijawahi waelewa kaka, wanaitaji watu educated, smart na ma HB

Sifa ya ziada awe na six packs [emoji23][emoji23], sijui hata wanawazaga nini
Lalashe ni kushukuru kwa unayemwelewa.
 
Back
Top Bottom