Dah...bosi Kuna mahali umeulizwa cheti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asalaaam.
Wanawake na wanaume wanaotaka kujibu.[wanaowaelewa]
Najua mnashughuli nyingi mpo busy ila tunahitaji ufafanuzi hapa tafadhali kisha mtaendelea na majukumu.
Hivi mnaposema mnahitaji mwanaume educated! Nimepata mwanaume educated.
Mnamaanisha nini!
Yaani aliyeelimika au aliyeenda vidato vingi. Tunauliza maana tusio na shule tunaweza kuwa tunajipa moyo mnamaanisha walioelimika kumbe mnahitaji vyeti vya madegree viwekwe mezani.
NB: kwenye majibu msisahau kuambatanisha na level tunayostahili kuitwa tumeelimika.
Asalaaam.
Umeeleza vyema.Sio Mimi wao.....we huonagi matangazo ya kutafuta mume na mke humu yanavyokuwaga????
Mtu anakwambia nahitaji mwanaume mwenye umri Fulani
Elimu awe na digrii au masta .......unadhani ingekua anatafutwa aliyeelimika kwa maana ya mwenye uwezo wa kuchanganua jambo kwa usahihi na kulifanyia maamuzi sahihi ingeandikwa neno digrii???? Wapo form 4 ambao wako vizuri kichwani lakini tangazo linataka digrii hii maana yake vinatafutwa vyeti
TehtehtehEducated girls always wanahitaji educated boys ...schooled hawa Mara nyingi huwa hawaelewi kama wanahitaji educated boy au uneducated ila awe vizuri financially...wale girlz ambao ni uneducated and unschooled hawa huhitaji tu mwanaume kwahiyo hapa sifa ni jinsi me tyu
Si utaniambukiza? Miezi sita haipiti wote tunakuwa educated.
ukimaliza kula nae sikukuu please come back to me; i miss you sana SakayoMwenyewe nasubiria jibu sielewagi kabisaaa mimi...
Au ndo wale, usimuone hivyo ni mwanasheria!
Mimi sijawahi waza hilo jamanii le superstar.... Mradi kuna mapenzi, love, care n protection mimi inatosha kabisaaa!Kwa hiyo superstar wewe kwenye vigezo vyako vya le superstar lako hakuna hiki pendwa cha educatef?
Jamani jamanii babaa...ukimaliza kula nae sikukuu please come back to me; i miss you sana Sakayo