Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Afadhali....StarLink wanakamilisha hatua za mwisho za kuruhusiwa kuweka satelite katika anga la Tanzania-Napelape Nnauye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali....StarLink wanakamilisha hatua za mwisho za kuruhusiwa kuweka satelite katika anga la Tanzania-Napelape Nnauye.
Akiruhusu Star link, Nape atakula wapi?hakukuwa na haja ya hii taharuki ya kuonesha ushamba wa wazi wazi kama Nnnape Nnauye anagemruhusu Elon Musk
Haya ni majibu ya kisiasa tu... ni kama ahadi za kwenye kampeni za uchaguzi, Ni ngumu kuamini maneno ya wanasiasa walioshindwa kutekeleza mwanzoni,StarLink wanakamilisha hatua za mwisho za kuruhusiwa kuweka satelite katika anga la Tanzania-Napelape Nnauye.
Haya ni majibu ya kisiasa tu... ni kama ahadi za kwenye kampeni za uchaguzi, Ni ngumu kuamini maneno ya wanasiasa walioshindwa kutekeleza mwanzoni,Waziri Nape: Starlink inakamilisha hatua za mwisho ipate vibali na kuanza kutoa huduma
MAWASILIANO: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema Kampuni ya Starlink inayotoa Huduma za Intaneti kwa kutumia 'Satelaiti' inakamilisha hatua za mwisho ili kupata vibali vya kutoa huduma nchini. Ametoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na Mdau kupitia X (zamani...www.jamiiforums.com
Starlink wakiruhusiwa huwa wanatoa elimu, wangefungua ofisi zao hapa nchini wangeajiri watanzania wenzetu ambao ni ndugu, jamaa, marafiki, majirani, n.k. kutuelimisha kwa kiswahili kutoa elimu kuhusu mambo kibao kuhusu starlink.You mean Nape angeruhusu Starlink hii inamaanisha watu wangeona hizo satellite juu wangejua ni satellite za starlink....HOW??
Unadhani watu ambao hawakujua kinachopira juu ni nini hawajui kuhusu Starlink, Elon, Space X and such stuffs ??
Hakun asiyeju satellite humu wewe umeju hizo satellite za starlink baada ya kusachi tu kama sisi instant ulivyoziona hukujua ni nini
Mara zote Tanzania huangushwa na 1.SiasaWengi wameelezea tukio hilo kama vitu vilivyounganika vinavyowaka waka, kuna wengine wamehusisha tukio na miujiza.
Ni satelaiti za kampuni ya internet ya starkink inayomilikiwa na Elon Musk.
Internet hii inapatikana hata uwe bondeni, milimani, porini, kijijini, n.k. Internet haina kikomo utatumia unavyotaka (Unlimited)
Elon Musk aliwahi kuja Tanzania kuomba vibali ili alete ofisi zake watanzania tunufaike na hii huduma lakini waziri wetu wa teknolokia Nnape Nnauye alituangusha
Internet hii imepewa vibali nchi nyingi, Nchi jirani zinazofaidi huduma hii ni Kenya, Rwanda, Malawi, Zambia na Msumbiji. Sisi tutabaki kuwa watazamaji wa hizo satelaiti tukizishangaa angani lakini wanaozitumia ni majirani,
Kuna takribani satelaiti elf 5 za starlink zinazunguka juu ya anga hapa duniani, hakuna haja ya mnara ukiwa na starlink, popote duniani utapata intenet, wenzetu wanafaidi teknolojia za kisasa.
View attachment 2917421
View attachment 2917422
Ushamba upo kwa kila mtu haijalishi ni mzungu au mwafrika.Hizo satellite hata wazungu wasingezijua kama Wasingeona maelezo ya Starlink before, wote tunazijua Stellite but sio kwa kuonekana kwa kuambatana
Starlink nIjua tangu 2017 huko na mission yake ila nilivyoona hizo Satellite sijajua kama ni satellite, usipoelewa wengi tunazijua satellite but tunajua ikiwa individual kama individual sio ku move kwa kupangana so ndio maana nikakwambia sio suala la kujua kuna starlink wala nini si suala la kuwa umesoma taarifa yao sehemu kuhusu hio nature ya hizo sattelite starlink kumove kwa mtindo wa jana ndio mtu angejua.Starlink wakiruhusiwa huwa wanatoa elimu, wangefungua ofisi zao hapa nchini wangeajiri watanzania wenzetu ambao ni ndugu, jamaa, marafiki, majirani, n.k. kutuelimisha kwa kiswahili kutoa elimu kuhusu mambo kibao kuhusu starlink.
Watu wangekuwa na uelewa kungekuwa hakuna tajaruki kama ya leo
Mimi nafatilia mambo ya Teknolojia hizo satelite za starlink nazijua tangu 2019 ndio maana nimekuja kutoa elimu baada ya kuona wengi wanashangaa kuona vitu wasivyovijua aangani
Jana usiku imepita tena nikajisemea Mungu atulinde isiwe mabom ya islaeri yamekosea njiamlioona hiyo satellite mnaishi mikoa gani mana sidhanii kua wadar wameona[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Wakwamisha maendeleo kama hawa hawafai madarakani. Mtu anayeuza bandari anaonekana mwamba mtu anayezuia matumizi ya internet eti bado nae haambiwi kitu.Nape alipinga bwawa la Nyerere,.....Nape alimtukana JPM kwenye simu...Nape kabana Elon Musk asilete Huduma yake ....huyu Nape ni tatizo sana..ndio maana JPM alimtembeza juani IKULU...huyu mtu hana manufaa yoyote
Akiruhusu Star link, Nape atakula wapi?
Laini zake haweki salio wala kuwa na bando. Mb 7 ikiuzwa hata 2,000 kwake yeye ni sawa tu
Kingine utakuta Waziri kataka apewe fungu kwanza ila tajiri Musk kaona upumbavu mtupu.Starlink wakiruhusiwa huwa wanatoa elimu, wangefungua ofisi zao hapa nchini wangeajiri watanzania wenzetu ambao ni ndugu, jamaa, marafiki, majirani, n.k. kutuelimisha kwa kiswahili kutoa elimu kuhusu mambo kibao kuhusu starlink.
Watu wangekuwa na uelewa kungekuwa hakuna tajaruki kama ya leo
Mimi nafatilia mambo ya Teknolojia hizo satelite za starlink nazijua tangu 2019 ndio maana nimekuja kutoa elimu baada ya kuona wengi wanashangaa kuona vitu wasivyovijua aangani