Ufafanuzi tukio lilotokea kwenye Anga la Tanzania, Teknolojia inazidi kukuwa, Watanzania tunaachwa nyuma tunabaki kushangaa

Unajua watawala wanataka Means za Mawasiliano ambazo zitakuwa Rahisi kufanya Censorship and Monitoring hata matumizi ya izo technology zenye end to end kama WhatsApp, au RCS za Google kwao hawataki mana sio traceable, Leo unampa permit starlink ikitokea Maandamano unazimaje hio net? Satellite coms ni very expensive ila ni reliable
 
Haya ni majibu ya kisiasa tu... ni kama ahadi za kwenye kampeni za uchaguzi, Ni ngumu kuamini maneno ya wanasiasa walioshindwa kutekeleza mwanzoni,
 
Starlink wakiruhusiwa huwa wanatoa elimu, wangefungua ofisi zao hapa nchini wangeajiri watanzania wenzetu ambao ni ndugu, jamaa, marafiki, majirani, n.k. kutuelimisha kwa kiswahili kutoa elimu kuhusu mambo kibao kuhusu starlink.

Watu wangekuwa na uelewa kungekuwa hakuna tajaruki kama ya leo

Mimi nafatilia mambo ya Teknolojia hizo satelite za starlink nazijua tangu 2019 ndio maana nimekuja kutoa elimu baada ya kuona wengi wanashangaa kuona vitu wasivyovijua aangani
 
Mara zote Tanzania huangushwa na 1.Siasa
2.Ujinga
3.Ubinafsi
 
Starlink nIjua tangu 2017 huko na mission yake ila nilivyoona hizo Satellite sijajua kama ni satellite, usipoelewa wengi tunazijua satellite but tunajua ikiwa individual kama individual sio ku move kwa kupangana so ndio maana nikakwambia sio suala la kujua kuna starlink wala nini si suala la kuwa umesoma taarifa yao sehemu kuhusu hio nature ya hizo sattelite starlink kumove kwa mtindo wa jana ndio mtu angejua.

So napingana na wewe kuwa kushaangaa kuwa ni nini kile haimaanishi kuwa watu hawajui starlink
 
Nape alipinga bwawa la Nyerere,.....Nape alimtukana JPM kwenye simu...Nape kabana Elon Musk asilete Huduma yake ....huyu Nape ni tatizo sana..ndio maana JPM alimtembeza juani IKULU...huyu mtu hana manufaa yoyote
Wakwamisha maendeleo kama hawa hawafai madarakani. Mtu anayeuza bandari anaonekana mwamba mtu anayezuia matumizi ya internet eti bado nae haambiwi kitu.
 
yuko kwenye Payroll ya makampuni ya simu ndio maana hataki wapatwe na ushindani anajua watu wakihamia kwenye satellite internet ndio kifo cha ISP wa cellular networks. Watashusha sana gharama
Akiruhusu Star link, Nape atakula wapi?
Laini zake haweki salio wala kuwa na bando. Mb 7 ikiuzwa hata 2,000 kwake yeye ni sawa tu
 
Kingine utakuta Waziri kataka apewe fungu kwanza ila tajiri Musk kaona upumbavu mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…