definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Ebu ni fundishe kidogo mtu akiwa kwnye treatment ana shindwa vp muambukiza mwenzake iwapo maambukizi haya tegemei zaidi mchubuko... bali body fluids!? Maana ni rahisi kuambukizwa infected cells with virus (body fluid) kuliko free virus kwnye blood( mchubuko)Huyo muathirika alikuwa kwenye treatment ndiyo maana jamaa yako amepona.
Kuna aliye eleza ukiwa kwenye treatment na viral load ikiwa 0 huwezi kumwambukiza mtu ingawa bado utakuwa na HIVEbu ni fundishe kidogo mtu akiwa kwnye treatment ana shindwa vp muambukiza mwenzake iwapo maambukizi haya tegemei zaidi mchubuko... bali body fluids!? Maana ni rahisi kuambukizwa infected cells with virus (body fluid) kuliko free virus kwnye blood( mchubuko)
hivi gharama za kufanya chek up sh ngap? kwa gvm na private hospital? ?Duh pole sana kwa rafiki yako Mungu yupo na ndie kila kitu kwetu. Hii ishu kwakwel ilinitokea Ila duh niliposikia story za mdada niliyekuwa nae mbona kulitokea mabadiliko ya ghafla Ila duh nikapiga moyo konde nikawa kwa kila baada ya kipindi hununua test na kujipima miez mitatu tofaut alhamdulillah Mungu kaniepusha nao. Mara ya mwisho nikawa dah mwili ukawa unauma nikasema wacha tu nikapanga day moja niende hospital baada ya kufika hospital nikatafuta dokta nikaongea nae pemben nikamwambia nataka nifanye chek up ya mwili wangu wote kabisa nikampelekea na mkojo achek kuwa hamna tatzo, akanitoa damu ya kutosha ya kufanyia vipimo vyake kwenye fundo LA mkono kwa mbele baada ya hapo akaniambia subir majibi yako nikaa kama roboo SAA hivi akaniita dah yaan majibu akanimabia huna tatzo lolote linalokusumbua kiafya na pia kwenye mkojo hakuona tatzo lolote Ila nikamuambia mbona mwili unaniuma sana ndio kuna dawa akaniandikia nikatafuta dispensary ikawa kila baada ya wiki ninaenda na kunipiga sindano lile tatzo lilipotea aalhamdulillah.
Correction ni Viral load . Kipimo mbadala ya CD4 count: hichi kipimo kina tumika kujua namba ya virus wote mwlini ili kutoa dawa kulingana na uzito wake! Sasa rafki iwapo viral load ikiwa 0 si ina maanisha hauna virus mwilini ivyo ww si mgonjwa...!!Kuna aliye eleza ukiwa kwenye treatment na vita load ikiwa 0 huwezi kumwambukiza mtu ingawa bado utakuwa na HIV
Weeee nani kasema ukiwa na O hupati ,,story zenu izo zakitaan achanen nazo.Tofauti na kula kistaarabu.... Kingine kinachosaidia hua ni group la damu.......
Watu wenye group 0 baridi hua ni ngumu sana kuunyaka kama group nyingine za damu.
Viral load ikiwa 0 bado unauginjwa kwani ukiacha treatment tu wa arudi. Kuhusu cell receptors huyo ni wacha he sanacwanapona kwa njia hiyo.Correction ni Viral load . Kipimo mbadala ya CD4 count: hichi kipimo kina tumika kujua namba ya virus wote mwlini ili kutoa dawa kulingana na uzito wake! Sasa rafki iwapo viral load ikiwa 0 si ina maanisha hauna virus mwilini ivyo ww si mgonjwa...!!
Kwa mm binafsi possbility ya mtu ku kwichi kwichi na mwenye HIV na asipate virus kwa mda mrefu ni kutokuwa na CCR5 hizi ni receptors kwnye CD4 ambazo virus hu bind ili kuingilia DNA ya Host..!
Sijasema 0baridi hapati ukimwi...... Nimesema ni ngumu kuupata......Weeee nani kasema ukiwa na O hupati ,,story zenu izo zakitaan achanen nazo.
Hapo naweza sema ni MUNGU lkn pia Kama mwadada alikua anatumia Dawa vzuri basi ilisaidia sana kwa jamaaa..
SEMA NYIE ACHEN AISEEE KUNA WATU UNAWEZA KUTAMAN KUWAFUMUA PUUUUUUU UBONGO HUKOOO !!. MTU ANAKUPOTEZA IVI IVI .
OK take it from me ,,hamna cha group wala nini...... Ukiona hujapata ngoma ,,kuna haya matatu ,,moja Mungu hajakutupa .Sijasema 0baridi hapati ukimwi...... Nimesema ni ngumu kuupata......
Kwakwel huko sijui mm nipo ughaibun kidgo kwahiyo unaweza ukaulizia zaid kwa hapo ulipo.hivi gharama za kufanya chek up sh ngap? kwa gvm na private hospital? ?