Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipimo kipi haswa? Manake vipi vya aina mbalimbali... Halafu ukienda ANGAZA au kituo chochote cha Kupimia Ukimwi watakuelekeza vizuri tu, ndiyo kazi yao hiyo..
Kwenda Angaza inahitaji moyo,
jamaa labda kanunua hiyo kit na anataka kujifungia chumbani na kujua status yake,
Kujifungia chumbani ili kujua status ya HIV ni hatari sana kama.ukikutwa na virusi kwani unaweza kuchukua maamuzu mabaya ya kujidhuru
Sema ni aina gani ya kipimo,je ni unigold,determine?