Ufafanuzi wa jinsi ya kusoma kifaa cha kupima HIV.

Ufafanuzi wa jinsi ya kusoma kifaa cha kupima HIV.

Kipimo kipi haswa? Manake vipi vya aina mbalimbali... Halafu ukienda ANGAZA au kituo chochote cha Kupimia Ukimwi watakuelekeza vizuri tu, ndiyo kazi yao hiyo..
 
Kipimo kipi haswa? Manake vipi vya aina mbalimbali... Halafu ukienda ANGAZA au kituo chochote cha Kupimia Ukimwi watakuelekeza vizuri tu, ndiyo kazi yao hiyo..

Kwenda Angaza inahitaji moyo,

jamaa labda kanunua hiyo kit na anataka kujifungia chumbani na kujua status yake,
 
Kwenda Angaza inahitaji moyo,

jamaa labda kanunua hiyo kit na anataka kujifungia chumbani na kujua status yake,

Kujifungia chumbani ili kujua status ya HIV ni hatari sana kama.ukikutwa na virusi kwani unaweza kuchukua maamuzu mabaya ya kujidhuru
 
Sema ni aina gani ya kipimo,je ni unigold,determine?
 
H.I.V rapid test ni DETERMINE,UN-GOLD pamoja na SD-BIOLINE ambacho siku hizi akitumiki sana.katika kila kipimo kuna mistai miwili ambayo ni control&patient band.hiwapo mistari itatokea miwili kwenye conjugate{coloring compound} ina manisha mtu uko ve+ ila ukiwa 1 kwenye control it means upo negative!! Ila zipo changamoto nyingi katika hizi rapidy test ikiwapo window period{the time delay between infection develope of antbody} ivyo vipimo vya rapid test vya weza onyesha faulse ve-.changamoto zingine zpo kwenye vifaa na vipimo sahihi vya damu,!
 
Back
Top Bottom