Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Service ya nn restaurant au?Jobless nimepata nafasi ya trainee kujifunza na kupata KAZI Zanzibar
KAZI ni receptionist na service
Wakuu ipi KAZI nzuri kati ya hizo mbili ambazo zina marupurupu.
Degree nimeweka pembeni
Hotels mkuuService ya nn restaurant au?
Hotel ina restaurant, kitchen, maintenance, na mengine mengi tu. Utakuwa zanzibar maeneo ganHotels mkuu
Panaitwa nungwiHotel ina restaurant, kitchen, maintenance, na mengine mengi tu. Utakuwa zanzibar maeneo gan
Boda kwa siku unapata kias ganPanaitwa nungwi
Sasa mkuu hii KAZI malipo mazuri au Bora nikomae na bodaboda tu,,?
Nenda ukapambane, hudumia vizuri wazungu bila kusahau tabasamu hata kama una madeni, waweza jishindia tip za hapa na pale in usd... akili iweke kwenye kutongoza wazungu kwa akili ukimpata mmoja bodaboda utaziona laana...Panaitwa nungwi
Sasa mkuu hii KAZI malipo mazuri au Bora nikomae na bodaboda tu,,?
Barabarani risk ni kubwa Sana! Nenda kapambane huko mahotelini!Panaitwa nungwi
Sasa mkuu hii KAZI malipo mazuri au Bora nikomae na bodaboda tu,,?
Elfu 15 nk siku ingine mpaka buku sabaBoda kwa siku unapata kias gan
Nashukuru sana mkuuBarabarani risk ni kubwa Sana! Nenda kapambane huko mahotelini!
Shida unaanza trainee, miezi mitatu yote unaweza usipate chochote au ukapata 50k au laki 1 tu. Kama una familia inakutegemea mtihan kidogoElfu 15 nk siku ingine mpaka buku saba
Hapo ndio tattizo ila sina familia Wala demu.... nishauri mkuuu nisije kupoteza focusShida unaanza trainee, miezi mitatu yote unaweza usipate chochote au ukapata 50k au laki 1 tu. Kama una familia inakutegemea mtihan kidogo
FreshHiyo kazi inaweza ikakukutanisha na potential people , na haina risk Kama bodaboda .
Ukiangalia long run benefits
Na ukiangalia risk
Utaona Hotelin hasa hotel zinazopokea watalii is best na ikiwa lugha inapanda that's good opportunity.
Komaa na boda, mana hiyo kazi yenyew unayoifata huko Nungwi baada ya miezi mitatu ukishaajiriwa unalipwa around 350/400k ila ukipata sehem za upigaji unapiga mpaka 80k kwa sikuHapo ndio tattizo ila sina familia Wala demu.... nishauri mkuuu nisije kupoteza focus
Sawa nakubali sana kaka ngoja nikomaeKomaa na boda, mana hiyo kazi yenyew unayoifata huko Nungwi baada ya miezi mitatu ukishaajiriwa unalipwa around 350/400k ila ukipata sehem za upigaji unapiga mpaka 80k kwa siku
I’m disappointed to see that someone with a university degree cannot understand that all jobs in the hospitality industry are 100% service-oriented."Jobless nimepata nafasi ya trainee kujifunza na kupata KAZI Zanzibar
KAZI ni receptionist na service
Wakuu ipi KAZI nzuri kati ya hizo mbili ambazo zina marupurupu.
Degree nimeweka pembeni
Acha ujuajiI’m disappointed to see that someone with a university degree cannot understand that all jobs in the hospitality industry are 100% service-oriented."
Hujuaji gani mtu anaweza kusema kazi ya receptionist na Service??? Receception siyo sehemu ya service siyo? Angeuliza form four wa shule ya kata huko kwetu vijijini nisingeshangaa. Ila kwa mtu wa degree kuhoji hivo na kisha ukaniona mimi mjuaji basi utakuwa na kazi kubwa ya kufanya huko hotelini. Manake kila siku utailipisha hoteli kutokana na malalamiko ya wageni.Acha ujuaji