Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Kwani mkuu unataka kazi au Marupurupu?
Fanya kazi kwa moyo mmoja hizo bonus zitakuja baadae
ukiwa na Expectation kubwa halafu hayo marupurupu yasije kwa wakati utaacha kazi?
Kama unaona mizani haibalance rudi kwenye boda