Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Saa Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Kwani Abdul bado ananyonya?Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Malizia Lucas Hebel mwashambwa anatoha....Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Kuna baadhi ya tamaduni na imani cheo cha mzazi ni cheo cha familiaKwani Abdul bado ananyonya?

Sheria ya utumishi na sheria Usalama wa Taifa unazijua zinasemaje kuhusu umri wa Mtoto? Abdul anaruhusiwa kuishi Ikulu? Maandiko marefu halafu pointless.Ndugu zangu Watanzania,

Nakuja kuendele
HippopotumusNdugu zangu Watanzania,

Kwa umri wake haruhisiwi kuishi IkuluSheria ya utumishi na sheria Usalama wa Taifa unazijua zinasemaje kuhusu umri wa Mtoto? Abdul anaruhusiwa kuishi Ikulu? Maandiko marefu halafu pointless.
Elon anatumia hela ya serikali?Trump anatembea na watoto wake, Elon Musk pia
Sawa mwashambwa,pata teuzi;Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Kwani wewe Ulipo acha kunyonya kwa Mama yako Iliondoa ile dhana kuwa bado ni Mama yako?Kwani Abdul bado ananyonya?
Kwani Lazima kumuiga Trump ? Kaamua kutembea na mtoto wake kwani kuna shida gani ?Elon anatumia hela ya serikali?
Mama yako huyo anamuiga Trump?
Sawa aseme wazi basi mwanae ni mwajiriwa wa timu ya usalama iwe wazi kuliko kuzua taharuki.Kwani Lazima kumuiga Trump ? Kaamua kutembea na mtoto wake kwani kuna shida gani ?
Nchi inaweza kuwa na matatizo ya kiuongozi, kimfumo na mambp mabaya mengi kama hapa kwetu, lakini haliondoi haki ya Samia kutembea na mtoto wake
Pengine tutakuwa hoja nyepesi za kitoto kama hizi, Twende kwenye hoja za msingi, tusiyumbishewe na vitu vidogo kama hivi, huku mambo mazito tunagusa juu juu
Hawajui mama samia kaamua kuongozana na kijana wake badala ya mzee Amir, protokali zinaruhusu.Ndugu zangu Watanzania,