Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
Mimi silipwi bali nawafungueni akili zenu bure kabisa bila malipoMsemaji wa kujitegemea kwa malipo ya buku 7

Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Haya Abduli amekubali kukuoa mke wa pili tuliza kijambio chako tumechoka na mashudu yako humu.Umesamehewa bure kabisa maana hujui ulitendalo
Kushner mkwe wa Trump alitangazwa rasmi kuwa special envoy wa Trump kwenye masuala ya Amani na alianza kazi February 2026. Awamu ya kwanza ya Trump alikuwa mshauri wa Rais Trump.Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe
Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
🤣🤣🤣 Mwanae havutiwi na kazi ya baba yake ndio maana hamfuati!Mbona hatumuoni mwanao akikufuata akifungua vinyuzi vya kichawa humu
Kwani Lazima kumuiga Trump ? Kaamua kutembea na mtoto wake kwani kuna shida gani ?
Nchi inaweza kuwa na matatizo ya kiuongozi, kimfumo na mambp mabaya mengi kama hapa kwetu, lakini haliondoi haki ya Samia kutembea na mtoto wake
Pengine tutakuwa hoja nyepesi za kitoto kama hizi, Twende kwenye hoja za msingi, tusiyumbishewe na vitu vidogo kama hivi, huku mambo mazito tunagusa juu juu
Pumbavu sana wewe.Mimi sitafuti Uteuzi
Tujikite kwenye mambo ya msingi. Hili la kumjadilia mtoto wa Rasi jambo jepesi sana, na uzuri au ubaya hatuna cha kunadilisha tayari yupo Russia na mwanaePumbavu sana wewe.
Hoja Hupingwa kwa hoja na siyo VirojaUnapata faida gani katika udhalilishaji huu unaojifanyia Luca?
Unapata faida gani watu wakikuzomea?
Faida gani unapata watu wakijua huna akili Luca?
Sikufahamu ila najisikia aibu mkuu.
Ubadhilifu, ufisadi na uuzaji holela wa masiliasili za nchi unaofanywa na Samia hawezi kutumia pesa zake za mfukoni sehemu zilizo na loopholes kama huo msafara.Hivi kwa akili yako unafikiri Rais Samia anaweza kushindwa Kumlipia Mwanae Nauli? Abduli ni Sehemu ya Rais Samia . Amani ya Taifa ni pamoja na Rais kuwa na Utulivu wa akili na Amani ya Moyo . Ambapo amani na utulivu wa Rais ni pamoja na kuona Familia yake ikiwa katika hali ya amani na usalama na yenye afya njema
Kwa hiyo huo ubongo wa upande wa kulia ndio wa Mwanshambya?
Haya mambo siyo rahisi kwa mwenye tafakuri.Wewe achana na mambo rahisi kama haya, kuna mambo mazito sana ya ku deal nayo kuliko hilo la mtoto, ambalo halina athari ya moja kwa moja kwako wala kwangu. Watanzania tuhamishwa kwa mambo madogo madogo sanaa kama haya na huku tunaacha mambo mazito kabisa