Ufafanuzi wa kina juu ya uwepo wa Abdul Hafidhi katika msafara na ziara ya Rais Samia na nafasi yake

Kwaio unajidanganya huyo Abdul atakuja kutuongoza watanganyika? Forget it na samia atakuwa mzanzibar wa mwisho kuongoza taifa hili la tanganyika nchi imefika papaya sana huwezi kuilinganisha tz ile ya miaka ya nyuma na sasa hivi, kisa kulazimisha madaraka
Anyway mwambie Abdul hana akili ya kutoongoza miaka ijayo ajipange upya tu
Afu wambie waliokutuma wakutumie hio elf 7000 umpelekee mkeo apike figili mle mlale
 
Chuki zako binafsi hazitakusaidia chochote kile na wala haziwezi kuondoa kibali cha Mungu juu ya mtu fulani
 
Tz imejifunza hili halitojirudia kumuachia mzanzibar nchi ni saswa na kuiweka lehani kbs wamalize muda wao tupitishe fagio warudi kizimkazi huko
 
Ondoa hapa mawazo ya kibaguzi yasiyo na tija
 
Back
Top Bottom