Unaweza kuwa imetoa hoja muhimu na kubwa kuliko zote, huyu mama anatafuta pa kukimbia maana her future is .........Wanajipanga vizuri kwa upande wa Putin ili wawe na pa kukimbilia they know the day of reckoning is coming soon

Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Oktoba 29, mama likuwa paoja na nwanawe?Ndugu zangu Watanzania,

Wewe ni nani nchi hii katiba imekupa cheo gani ili utuoe ufafanuzi huu? Yaani wewe unatoa kauli hii kama nani?Ndugu zangu Watanzania,

Kama tunashindwa kushughulika na jambo zito kama la 29 October na wizi unaondelea hili la mtoto wa Rais ni kupoteza mdaHaya mambo siyo rahisi kwa mwenye tafakuri.
Tundu Lissu aliwahi kusema kuwa dalali Wenje alimleta kwake akitaka kumpa pesa kabla ya uchaguzi was CHADEMA, alipata wapina kwa maslahi ya nani?
Tushaona mihamala ya kifedha mkubwa akifanya pamoja na kumiliki magari ya kifahari. Kwa biashara gani au kazi ipi anayofanya kumtetea kipato kikubwa?
Mtuhumiwa mkuu wa kikundi cha utekaji ambacho hadi leo serikali imeshindwa kuwakamata na kutoa maelezo ya kina.
Pale kwenye delegation anatambulishwa kama nani na protocol inakubali? Hivi ni Samia tu ndio kiongozi mwenye watoto duniani ?
Last but not least. Tumechoshwa na nepotism mtoto waziri, mwingine mbunge, mkwe waziri, Shemeji waziri, mshenga waziri, mtoto kwenye misafara ya rais this is too much machawa mtatupasuaaaa!!!
Kujua Kila kitu ni ulemavu kumbe ee?!!Kuna baadhi ya tamaduni na imani cheo cha mzazi ni cheo cha familia
Uwezo wako wa kufikoria huwa ni mdogo mnoo Hadi unatia huruma wewe.Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Nitajie kifungu cha sheria kilichovunjwa kutoka ndani ya katiba yetu . Sitaki porojo nataka kifungu kilichovunjwaUwezo wako wa kufikoria huwa ni mdogo mnoo Hadi unatia huruma wewe.
Huyu ni raisi wa ngapi wa Tanzania?
Hao wengine hawakuwa na watoto?
Ulishaona waliandamana nao poppte?
Kwani Kuna Sheria inayo mkataza raisi kula ndizi kariakoo?.ulishawahi ona akila hadharani?
Imeandikwa kwenye Sheria Gani kwamba raisi haruhusiwi kulala na mwenza wake Hadi asubuhi? Mbona Wanafanya wakisimamiwa na Kila mtu analala kivyake huko
Natoa kauli na ufafanuzi kama Lucas Hebel Mwashambwa.Wewe ni nani nchi hii katiba imekupa cheo gani ili utuoe ufafanuzi huu? Yaani wewe unatoa kauli hii kama nani?
kumbe umu tuna watu vilaza sana eeh?Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Wapi kodi ya serikali imetumika? Wapi katiba ya Nchi yetu Imevunjwa? Kuna kosa lipi Mtoto wa RAIS kuambatana Na Mzazi wake ?kumbe umu tuna watu vilaza sana eeh?
kwahiyo wao watanzania na wakenya uliowataja nao walikuwa wanaambatana na wazazi wao kwenye ziara za kiserikali?
pia kupenda au kurithi kazi anayoifanya mzazi ni lazima uambatane nae?
hii nchi mama samaia sio kwamba ndio rais wa kwanza
wapo marais waliopita kabla yake
👉 Nyerere
👉 Mwinyi
👉 Mkapa
👉 Kikwete
👉 Magufuli
Yupi kati ya hao marais ambaye alikuwa anatembea na watoto wake kwenye ziara za kitaifa ebu tuambie
wakati mwingine tusiwe tuna mjaza rais ujinga halafu nyuma ya pazia unakuja kumponda
inatakiwa kama anafanyak kosa akosolewe ili ajue kwamba anachofanya ni kosa
ina maana yeye ndio anampenda sana mwanae na hao marais wote waliopita hawawapendi watoto zao?
anaambatana na abdul yeye ni kama nani serikalini au ndio makamu wake
hayo ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
nchi inapitia kipindi kigumu sana sasa hv sasa yeye baada arejeshe matumaini kwa wananchi ndio kwanza anazid kuyatimba
mroto unamtuma anaenda kukuwakilisha mpaka kwenye ziara za kimataifa wakati una makamu, unawaziri mkuu na viongozi mbalimbali wa kitaifa
sasa kama unaona hawafai uliwateua wa nn?
hii nchi sio ya kikundi cha watu fln ifahamike kwamba hii ni ya watanzania wote
nilichogundua mimi wakati mwingine mama mwenyewe anapenda sana watu wakae mitandaoni na kumsema
Andika vizuri uelewekeOktoba 29, mama likuwa paoja na nwanawe?
Tujue tu.
Siyo kila mtu anaweza kuwa RAISUtandawazi na uyuda,
Now kila mtu anaweza kutolea ufafanuzi wa Rais na familia ya Rais
Ndio maana now days kila mtu anaona anaweza kuwa Rais wa inchi
Ni watu wasio na akili tu hawaelewi, pole!Andika vizuri ueleweke
Uwe na adabu dogoNi watu wasio na akili tu hawaelewi, pole!
Chawa wewe, unatoa ufafanuzi kama nani fala wewe.Mtuambie ile miili ya watoto wetu imezikwa wapi? Tupeni miili ya watoto wetu wa Tanganyika. Shenzi nyie.Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia yake ikiwa pamoja na Mume wake na watoto wake.
Hakuna msitari unaomtenganisha Rais Samia na watoto wake akiwepo Abdul Mwenyewe. Rais Samia anabakia kuwa Mama katika Familia yake ,Mlezi na mfano wa Kuigwa kwa Familia Yake. Rais Samia anayo Haki ya Kiasili kabisa kama ilivyo kwa Mtoto wake ambaye naye anayo haki ya kiasili kabisa kuwa na Mama yake karibu.
Hakuna sheria yoyote ile ndani ya katiba yetu na sheria yoyote ile ndani ya Ardhi ya Taifa letu inayomzuia Rais Wa Nchi kuambatana na Watoto wake sehemu yoyote ile Aendayo. Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe zake maeneo mbalimbali Duniani. Tena siyo tu kuambatana bali hadi kuwapa nafasi ndani ya serikali na ndani Ya Ikulu ya Whitehouse House.
Nikatika muktadha huu ndio maana watoto wengi sana Duniani kote hujikuta wakipita njia walizopitia wazazi wao na kuingia katika kazi walizofanya wazazi wao. Kwa sababu kila mtoto hujikuta akivutiwa na kazi afanyazo mzazi wake .
Ndio Maana Dunia ilishuhudia George Bush akiwa Rais wa Marekani kama ilivyokuwa kwa Baba yake . uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya kama ilivyokuwa kwa Baba yake,. Hussein Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar kama ilivyokuwa kwa Baba yake. Kuna pia watoto wa wanajeshi ambao nao wamejikuta wamekuwa wanajeshi baada ya kupenda kazi za wazazi wao.
Vivyo hivyo utaenda kwa madaktari utakuta na watoto wao nao ni madaktari,kama ilivyo kwa walimu kuona na kukuta watoto wao nao ni walimu ,kama ilivyo kwa wazazi madereva kukuta watoto wao nao wakirithi kazi za baba zao ,kama ilivyo kwa wavuvi kukuta watoto wao nao wakiwa wavuvi . Kama ilivyo kwa polisi kukuta watoto wao ni askari.
Kwa Hiyo Ndugu Abduli anayo haki ya kiasili kabisa kuambatana na Mama yake popote pale Duniani na hata kutambulishwa kwa heshima zote. Kwa Hiyo Mlitaka akiambatana Naye amuache mtoto wake uchochoroni? Mlitaka afungiwe kwenye Mabegi? Obama alipokuja hapa Nchini Hamkuwaona watoto wake? Je hamkumuona Binti wa William Rutto akiwa kule Uganda pamoja na Mkuu wa Majeshi wa Nchi hiyo?
Acheni wivu na chuki binafsi, acheni roho za kwanini. Umasikini wako hautaondoka kwa kumuonea mtu wivu ama kumchukia mtu. Hivi kwa akili za kawaida unafikiri Rais Wetu anaweza kushindwa kumlipia nauli mtoto wake?
Nani kakuambia kuwa Rais Samia kuwa Rais kumemuengua na kumuondolea haki ya kuwa karibu ma Famia yake na wajibu wake kwa Familia kama Mzazi? MnataKa watoto wake Waishi kama Yatima angali Hai?
Nakuja kuendelea
Weka majina kamili ya watoto wako hao unaowasemaChawa wewe, unatoa ufafanuzi kama nani fala wewe.Mtuambie ile miili ya watoto wetu imezikwa wapi? Tupeni miili ya watoto wetu wa Tanganyika. Shenzi nyie.
Angalia website; Tanzania Massacre ina watoto wa Tanganyika zaidi ya 3000 ambayo miili yao haijulikani ilipo. Uone aibu wewe chawa.Weka majina kamili ya watoto wako hao unaowasema