Ni kweli kabisa, hapa bongo viongozi wakubwa ndio huwa wageni rasmi kwenye hayo makanisa ya kijanja janja. Yaani mwakilishi wa mkuu wa kaya anapeleka bahasha iliyonona ikiwa sadaka imetoka nyumba nyeupe.Akili Kubwa ya Paul Kagame kamwe huwezi Kuikuta kwa Viogozi wa Tanzania na ndiyo maana Rwanda yake inatuacha.
Ukiwa na Taifa ambalo 99% ya Viongozi wake kuanzia Wakuu na Wengine wanapenda Ushirikina tegemea huu Upuuzi.Ni kweli kabisa, hapa bongo viongozi wakubwa ndio huwa wageni rasmi kwenye hayo makanisa ya kijanja janja. Yaani mwakilishi wa mkuu wa kaya anapeleka bahasha iliyonona ikiwa sadaka imetoka nyumba nyeupe.
Nimepunguza ukali wa MANENO π π π .Umeogopa nini kusema kuwa ni Vichaa na Wapumbavu wakubwa?
Mimi huwa simcheleweshi Mtu Mkuu na Neno huwa nalipeleka vile vile kama lilivyo.Nimepunguza ukali wa MANENO π π π .
Una akili sana mweshimiwaHivi kweli serikali inanufaika vipi na haya makanisa ya kijinga...nawaona watu wengi sana wanafilisika kupitia haya makanisa..maombi karibia siku 6 za week...kweli? Kaz zinafanyika muda gani....niliwahi mwambia wife siku nikisikia cjui unasema umeokaka utaniambia dhambi uliyofanya...kuwa tuu na hofu ya Mungu nenda kanisani ulilobatizwa roman catholic...inatosha kama ukitaka dini nyingine ni bora uhamie muslim...lakin sio hivi vikanisa vya uchochoroni...
Umeanza na kanisa hilo, kanisa la pili ni lipi maana umesema "kuyafungia makanisa"!Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu
Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya Shetani ikiwemo maswala yanayohusiana na ushirikina ili kupata muitikio mkubwa
Anahitaji kupata elimu ya Dini ili aweze kueneza habari za Mungu kwa wanadamu badala ya kutengeneza mtafaruko
Mara nyingi hili kosa linafanywa na Wachungaji wengi wanasahau kueneza mema ya Mungu badala yake wanazungumzia machafu ya Shetani
Hii ni sawa na mwanachama wa CCM kuacha kuzungumzia chama chake na kuzungumzia machafu ya chama pinzani jambo ambalo halina faida katika chama chake na tafsiri yake ni sawa na mtu aliyeishiwa sera au ushawishi katika chama chake kwahiyo anaamua kuzungumzia madhaifu ya chama pinzani
Siku hizi mahubiri yote yanamnyooshea Shetani kidole mema ya Mungu hayasemwi tena bado wapo kwenye ile kesi ya zamani ya Mungu na Shetani, ilikuwa ni ya zamani sana sidhani kama Mungu anapenda kugombana kila wakati
View attachment 3055287
Watanzanie na mutu ya Congo, kuishapendaga sana ulozi ,kwa vichwa vyao.. huwa naonaga ni wajingaUkiwa na Taifa ambalo 99% ya Viongozi wake kuanzia Wakuu na Wengine wanapenda Ushirikina tegemea huu Upuuzi.