Ufafanuzi wa kina kuhusiana na Serikali kufungia Makanisa yasiyokidhi viwango vya kutoa huduma za kiroho

Ufafanuzi wa kina kuhusiana na Serikali kufungia Makanisa yasiyokidhi viwango vya kutoa huduma za kiroho

Akili Kubwa ya Paul Kagame kamwe huwezi Kuikuta kwa Viogozi wa Tanzania na ndiyo maana Rwanda yake inatuacha.
Ni kweli kabisa, hapa bongo viongozi wakubwa ndio huwa wageni rasmi kwenye hayo makanisa ya kijanja janja. Yaani mwakilishi wa mkuu wa kaya anapeleka bahasha iliyonona ikiwa sadaka imetoka nyumba nyeupe.
 
Ukiwa na Taifa ambalo 99% ya Viongozi wake kuanzia Wakuu na Wengine wanapenda Ushirikina tegemea huu Upuuzi.
 
Niliona ushuhuda wa mama mmoja pale kwa Mwamposa anadai tangu abandike picha ya mtume kwenye mtungi wa gesi ya kupikia, hajawahi ongeza gesi kwa miaka mitatu na anapikia muda wote huo.
 
Muumini anashuhudia kwa mtume Mwamposa kuwa tangu achomeke picha ya mtume pembeni ya mita ya luku, huwa hanunui tena umeme, yaani ni free tu.
 
Hivi kweli serikali inanufaika vipi na haya makanisa ya kijinga...nawaona watu wengi sana wanafilisika kupitia haya makanisa..maombi karibia siku 6 za week...kweli? Kaz zinafanyika muda gani....niliwahi mwambia wife siku nikisikia cjui unasema umeokaka utaniambia dhambi uliyofanya...kuwa tuu na hofu ya Mungu nenda kanisani ulilobatizwa roman catholic...inatosha kama ukitaka dini nyingine ni bora uhamie muslim...lakin sio hivi vikanisa vya uchochoroni...
 
Una akili sana mweshimiwa
 
Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu

Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya Shetani ikiwemo maswala yanayohusiana na ushirikina ili kupata muitikio mkubwa

Anahitaji kupata elimu ya Dini ili aweze kueneza habari za Mungu kwa wanadamu badala ya kutengeneza mtafaruko

Mara nyingi hili kosa linafanywa na Wachungaji wengi wanasahau kueneza mema ya Mungu badala yake wanazungumzia machafu ya Shetani

Hii ni sawa na mwanachama wa CCM kuacha kuzungumzia chama chake na kuzungumzia machafu ya chama pinzani jambo ambalo halina faida katika chama chake na tafsiri yake ni sawa na mtu aliyeishiwa sera au ushawishi katika chama chake kwahiyo anaamua kuzungumzia madhaifu ya chama pinzani

Siku hizi mahubiri yote yanamnyooshea Shetani kidole mema ya Mungu hayasemwi tena bado wapo kwenye ile kesi ya zamani ya Mungu na Shetani, ilikuwa ni ya zamani sana sidhani kama Mungu anapenda kugombana kila wakati
View attachment 3055287
Umeanza na kanisa hilo, kanisa la pili ni lipi maana umesema "kuyafungia makanisa"!
 
Back
Top Bottom