GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kumbuka hao ni wajumbe tu hasira zako kwa yanga zisikuzuie kusema ukweli
Wewe ni simba na siyo Mbeya city subiri Mbeya waseme
Simba anaongoza yanga nafasi ya pili jibu unalo nani anapumuliwa kwa nyumbaKadi yangu ya Uanachama ya Simba SC unayo au wakati najisajili ulikuwepo nami ' mstarini ' huku nikiwa ' nakupumulia ' kwa nyuma?
Mechi ya Mbeya City na Yanga ilichabangwa Jumapili (juzi). Matokeo yalikuwa 1-1. Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Nani anapata nini? Ipo wazi kuwa kama Mbeya City wangesawazisha goli kipindi wakiwa na mchezaji wa ziada uwanjani, kisha refa asingeona, lakini akaripoti kwa mamlaka ya mashindano, ingewezekana City kunyang'anywa pointi yao moja waliyopata kisha Yanga kupewa pointi zote tatu.
Goli lilifungwa kabla ya mgogoro husika. Uamuzi ulikuwa kumtoa nje ya uwanja aliyeingia kimakosa na kama ingebidi, ingepigwa adhabu ndogo. Hivyo ndivyo sheria inasema. Kwa hiyo hakuna namna Yanga wanaweza kupewa pointi tatu. Itakuwa ni tukio la kuchekesha kama itaamuliwa hivyo.
Ameandika Luqman MALOTO
Tatizo mnatumia jazba katika kufafanua mambo. Ebu tuchukulie ndio mwamuzi awe ajamuona huyo mchezaji kama ilivyojitokeza na mechi ipo bila bila, then mbeya city wangepata goli na matokeo kusomeka moja bila hadi mwisho. Je, yanga wasingepewa point au matokeo yangebaki yanga kafungwa then angeazibiwa mwamuzi tu?kama yanga wangefunga goli basi lingekubaliwa...
kama mbeya city wangefunga wakiwa wamezidi goli lingekataliwa....
kitu gani hujaelewa hapo?
au yanga hawawezi kufunga bila kupunguzwa kwa timu pinzani?
Simba anaongoza yanga nafasi ya pili jibu unalo nani anapumuliwa kwa nyumba
Wewe mbeleko tu unachengachenga eti uko mbali we simba tuMimi unanipumulia kwa mbali sana na hata haiumi ila Wewe Azam FC anakupumulia kwa ukaribu sana na huenda kila mara ' anaipenyeza ' tu ' myuuuuuuuuuuuuuuuu ' kimtindo na kuingia. Usipoangalia hadi Ligi inaisha utakuwa umeshambebea Mimba Azam FC.
kama yanga wangefunga goli basi lingekubaliwa...
kama mbeya city wangefunga wakiwa wamezidi goli lingekataliwa....
kitu gani hujaelewa hapo?
au yanga hawawezi kufunga bila kupunguzwa kwa timu pinzani?