Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
Uzuri ni kwamba hakuna sheria inayopitishwa kwa hati ya dharura bila kuwa na favour ya jambo au tukio fulani either political gain or mass acceptance. Mana wanasiasa ni waji*nga sana wanapenda kutafuta mass sympathy huku wakiwa na ajenda zao za siri.HIYO SHERIA IMEANDALIWA KWA HATI YA DHARULA,
IKAPELEKWA BUNGENI,
IKAPITISHWA,
KISHA RAIS AKATANGAZA ANAYETAKA KUTUMIA FURSA HIYO (GHIRIBA) AKIRI KOSA NA KUREJESHA MALI,
KISHA SHERIA IKASAINIWA ILI IANZE KUTUMIKA.
HAPO NAONA KUNA JAMBO LIMEJIFICHA NYUMA YA HII KITU.
BAADA YA UCHAGUZI KILA KITU KITAJULIKANA.