Uzuri ni kwamba hakuna sheria inayopitishwa kwa hati ya dharura bila kuwa na favour ya jambo au tukio fulani either political gain or mass acceptance. Mana wanasiasa ni waji*nga sana wanapenda kutafuta mass sympathy huku wakiwa na ajenda zao za siri.HIYO SHERIA IMEANDALIWA KWA HATI YA DHARULA,
IKAPELEKWA BUNGENI,
IKAPITISHWA,
KISHA RAIS AKATANGAZA ANAYETAKA KUTUMIA FURSA HIYO (GHIRIBA) AKIRI KOSA NA KUREJESHA MALI,
KISHA SHERIA IKASAINIWA ILI IANZE KUTUMIKA.
HAPO NAONA KUNA JAMBO LIMEJIFICHA NYUMA YA HII KITU.
BAADA YA UCHAGUZI KILA KITU KITAJULIKANA.
Uzuri ni kwamba hakuna sheria inayopitishwa kwa hati ya dharura bila kuwa na favour ya jambo au tukio fulani either political gain or mass acceptance. Mana wanasiasa ni waji*nga sana wanapenda kutafuta mass sympathy huku wakiwa na ajenda zao za siri.
Nahisi kwenu mna asili ya uendawazimu! Hizi sheria katoa kichwani kwake? Unaishi kwa bahati mbaya kabisa!Anna Henga ni mchumia tumbo kama Fatma Karume na ZZK
Ndio maana kwa mtazamo wangu kabla ya hiyo plea bargaining kuwe na prior agreement ya mahakama yenye option offers ambazo mtu atazipata akiingia kwenye hiyo bargaining ili apime kwanza uzito wa kile anachokwenda kufanya nacho bargaining (afanye maamuzi kwanza aingie au asiingie) otherwise bora musumbuane mahakamani tu, kieleweke.HIYO AGENDA YA SIRI NI CHUNGU KULIKO SHUBIRI.
WATAKAOKIRI WAWE MAKINI,
IKITOKEA UMEKIRI, PESA YA KULIPA HUNA,
NINI KITAFUATA?
KITANZI, RISASI AU KWENYE VIROBA NA KUTUMBUKIZWA MTO RUVU ILI MAMBA NAO WAFANYE UFISADI WAO?
Hata alietowa maelekezo alishauri utaratibu wa sheria ufuatwe.Umuhimu wake uwe ni kwenye kuona kama sheria itafuatwa ama itakuwa maelekezo ndiyo yatafuatwa!!
Ulitakiwa utaratibu uanze "automatic" kabla ya maelekezo kutolewa...Hata alietowa maelekezo alishauri utaratibu wa sheria ufuatwe.