Wewe ni muumini wa dini gani?Cha kufanya ni Mbowe akimaliza kifungo chake cha miaka 30 jela atakayohukumiwa, aache kabisa ugaidi pamoja na wafuasi wake. Akifanya hivyo hakuna atakayemfungulia kesi tena ya ugaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni muumini wa dini gani?Cha kufanya ni Mbowe akimaliza kifungo chake cha miaka 30 jela atakayohukumiwa, aache kabisa ugaidi pamoja na wafuasi wake. Akifanya hivyo hakuna atakayemfungulia kesi tena ya ugaidi.
Mkuu hongera naona mimba yako umekaribia kuzaa, ikifika muda huo ni kawaida yenu kupata ndoto za ajabu ajabu.Cha kufanya ni Mbowe akimaliza kifungo chake cha miaka 30 jela atakayohukumiwa, aache kabisa ugaidi pamoja na wafuasi wake. Akifanya hivyo hakuna atakayemfungulia kesi tena ya ugaidi.
The only solution is to have a new constitution for our country.
Haliwezi kuwa kaa la MOTO kama tutaacha na kuukataa UADILIFU. Kumbuka katiba ni utaratibu wa kujisimamia aliojiwekea mwanadamu mwenyewe na yeye huyohuyo anaweza kuupuza utaratibu huo...Na hilo ndilo kaa la moto, ambalo watawala wetu wa CCM hawataki kulimeza!
Wamkamate wampeleke wapi wakati umeambiwa mahakamani mtu huingizwa huku anayeshtaki akiwa na hati ya mashtaka [Charge sheet] mkononi mwake ili kuipa uhalali mahakama kumshikilia mtuhumiwa wakati ikitafuta ukweli mashtaka/tuhuma hizo...?alichokifanya jaji ni busara zaidi kuliko angemuachia huru na akakamatwa tena mda huohuo.
Tupe kirefu cha hiyo IJP yako hiyo tafadhali.Nafkiri swala la mikutano, wangeheshimu huo wito wa kukutana ma IGP na msajili, kwani unaposema sheria imesema mnapeleka taarifa kwa ocd ni ili kurahisisha mchakato tu lakininuhalisia OCD yupo chini ya RPC na RPC yupo chini ya IJP, hivyo ocd akipigwa stop na wakubwa zake hawezi kukiuka maagizo,hivyo ni vyema mkakutana na top bosses ili kutengeneza namna bora/utaratibu kwa nchi nzima.pia kwa nyongeza ya uelewa mwenye mamlaka na utendaji wa jeshi la polisi ni IJP, hayo mengine ni katika kurahisisha taratibu za utendaji kwani huwezi kutegemea kila kibali/barua zote zielekezwe kwa IJP, ndio maana kuna makamishna,rpcs,ocds,rtos etc
mnapewa kamba ndefu lakini ndo yuko ndani hivyo huyo gaidi
mkuu si vyema kutoa conclusion kabla kesi haijaanza, kinachopambaniwa sasa hivi ni hati tuWamkamate wampeleke wapi wakati umeambiwa mahakamani mtu huingizwa huku anayeshtaki akiwa na hati ya mashtaka [Charge sheet] mkononi mwake ili kuipa uhalali mahakama kumshikilia mtuhumiwa wakati ikitafuta ukweli mashtaka/tuhuma hizo...?
By the way, kama serikali/polisi walikaa naye kwa zaidi ya wiki tatu kabla ya kumfikisha mahakamani na bado wakashindwa kutunga mashtaka ipasavyo, watawezaje kwa muda huu ambao kila kitu kiko wazi ktk mwanga angavu...?
Ndugu, hakuna kitu hapo, hakuna kesi hapo, hakuna mashtaka hapo. Ni uhuni na upumbavu tu wa watawala unao swing kupotezea watu muda na kuingizia nchi hasara kwa jambo ambalo halipo kiuhalisia...!
Imeeleweka. Mbowe kashikiriwa bila "proper charges". Huu ni mwendelezo wa uvunjifu wa katiba na haki za binadamu. "It is a pity to be a citizen of this country".Kufuatia kujitoa kwa Jaji Elinaza Luvanda anayesikiliza shauri linalowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake watatu katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi iliyoko mahakamu kuu DSM, baada ya mshitakiwa namba 3 Freeman Mbowe kuonesha "kutokuwa na imani" naye, wengi tumekuwa tukitoa maoni yetu hewani bila kuwa na reference ya kisheria.
Katika video hii, mawakili wa mahakama kuu wasomi ndugu Peter Madeleka na Fatuma Karume wanatupa ufahamu wa kisheria jinsi mambo yalivyo na baada ya kuwasikiliza, kila mtu awe huru kutoa maoni yake sasa iwapo ilikuwa ni halali kwa Jaji huyu kujitoa au vinginevyo.
Ni kwa sababu mashitaka yenyewe ni mabovu, fake kabisa!Kwa nini serikali imepeleka hati mbovu ya mashtaka?
Mna uzoefu sana na marehemu kutofufuka, maana yule wenu hata bishop Rashidi, hakuweza kumfufua!Sioni kama marehemu atafufuka hapa mnachelewesha mazishi , kurefusha matanga na kuwachosa walala matanga
Kama hawana ushahidi lazima hati ya mashtaka kuwa na mapungufuHilo ndilo swali kubwa hivi sasa.
Na hiyo ndiyo uthibitisho usio na shaka yoyote kuwa hiyo kesi ya Mbowe ni ya kubambika!
Kuna usahihi fulani kwenye maelezo yako, lakini nikupe tu taarifa kwamba, kama unaiamini Bible, Torati yote ndo katiba ya Israel na taifa la Israel ni kielelezo cha jinsi ya kujenga taifa!Partly, it can be a solution...
Moreover, solution ya kupata taifa lenye jamii ya watu bora, waliostaarabika ya kila mtu kujali utu wa mwenzake, ni kuimarisha msingi ya UADILIFU ambao ni KUKUBALI KUONGOZWA NA MUNGU MUUMBA na kumtii yeye peke yake na kutii sheria na maongozi yake...
Ni kwa sababu Mungu ni PENDO na MUNGU NI WA HAKI. Na msingi Wa jamii iliyostaarabika ni UPENDO na HAKI na hapo huleta kutamalaki kwa AMANI katikati ya jamii hiyo...
Haliwezi kuwa kaa la MOTO kama tutaacha na kuukataa UADILIFU. Kumbuka katiba ni utaratibu wa kujisimamia aliojiwekea mwanadamu mwenyewe na yeye huyohuyo anaweza kuupuza utaratibu huo...
Kaa la moto la kweli linaloweza kumwadabisha kila mtu ni UTII WA SHERIA YA UPENDO + HAKI = UADILIFU ambaye msingi wake ni aliyetuumba yaani Mungu Yehova...!
Kaka tatizo tunakuwa wanaharakati zaidi bila kujua namna ya kutafsiri haki za kikatiba, naomba usome ibara ya 30 ya katiba utaelewa vizuri andiko langu.kikubwa ni kuwa haki,uhuru haviko absolute, kwamba kwakuwa una haki ya mikutano ama maandamano sasa ukaonyesha na viashiria vya kuvunja amani/utulivu kwa mwamvuli wa katiba, uzuri sasa katiba yenyewe imetoa exceptions to the general rule and that is article 30... na ndio maana kuna vyombo na taasisi za serikali ambazo zimepewa jukumu la kuweka law and order in case ya viashiria vyovyote. be so informed
Umeshajiuliza kama kuna ushahidi Jamhuri wanasema wanao?, Unafikiri Jaji ageweza kuuacha tu ukaenda na maji?. Jibu ni hapana. Haki ni kwa pande zote mbili haki haipo kwa mshitakiwa tu bali hata mshitaki anayo haki ya kushitaki, unafikiri Jaji angeweza kuivunja iyo haki kirahisi hivyo?
Swali lingine ni mnaposema haki ya Mh. Mbowe imevunjwa ni haki gani hiyo?, Kama ni haki ya yeye kuachiwa huru hiyo haki haiwezekaniki bila Jamhuri kusikilizwa ushahidi wao, sasa utasikilizwaje ndani ya hati ya mashtaka yenye walakini?, Suluhisho ni nini ili Jamhuri asikilizwe?,
Hayo maswali ukiyatafakari utapata standing ya Mh. Luvanda J. wala haitakupa wasi wasi ulio nao sasa ukifahamu kuwa
Popote linapotajwa neno haki ijulikane ni pande mbili sio pande moja Mkuu.
Sasa wote hamjui sheria na wewe ndo mshauri huoni kama ni bomu tu linasubiri kulipuka?Kwa vijana wa Chadema, Jaji kujitoa kwenye kesi wanafikiri is a big deal, lakini kumbe ni jambo la kawaida kabisa. Nina rafiki yangu hapa Mwanza ana kesi na mimi ndie mshauri wake kwenye hiyo kesi na wote hatujasomea sheria na hatujui sana sharia, lakini juzi tumepeleka hoja ya kutokuwa na imani na Hakimu na Hakimu amejitoa temepangiwa Hakimu mwingine.