Ufafanuzi wa kisheria watolewa kufuatia kujiondoa kwa Jaji Elinaza Luvanda kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi wa Freeman Mbowe na wenzake..

Cha kufanya ni Mbowe akimaliza kifungo chake cha miaka 30 jela atakayohukumiwa, aache kabisa ugaidi pamoja na wafuasi wake. Akifanya hivyo hakuna atakayemfungulia kesi tena ya ugaidi.
Ndiyo maana wakitokea magaidi halisi na wakafanya ugaidi wakitokea watakaofurahia msije kulaumu au kuuliza kwanini watu wanafurahia ugaidi.Kama wewe unavyofurahia na kumwita gaidi mbowe asiye gaidi. Maandiko yanasema yeye atafutaye madhara yatamjia. Lopokeni tu gaidi gaidi. Hamza alichokionyesha ni sehemu ndogo sana ya kile mnachokilopoka kwa mbowe.
 
Jaji mstaafu Bernard Luanda,popote ulipo Mungu akubariki.
Uliitendea haki taaluma yako.
 
Mahakama Kuu ina Hiyari (may) ikiongozwa na busara ili haki ionekane inatendeka, hati ya mashtaka ikiwa na dosari au mbovu mtuhumiwa anatakiwa kuachiwa huru.

The fundamental question is: Did the court dismiss the charges? The answer is no; the court just ordered amendment of the charge sheet.

Curable defects shouldn’t result in downright dismissal of such serious charges!
 
Bahati mbaya umekomenti bila kusoma vizuri nimeandika nini. That's the problem of myopic thinking of Chadema Youth like you.
Nilikusoma, nikakuekewa na kukujibu sawasawa na ulichokusudia kila akusomaye akuelewe...

You are wrong, I am not CHADEMA youth. You are the pure example of what you've just described as "myopic"
 
Hivi haya unayoandika unayatoa wapi? ni sheria ipi unayotumia kuandika haya? ni sheria au rule ipi inayomzuia jaji kutoa haki kwa mshtakiwa kama hati ya mashtaka imekosewa, huo ushahidi kama wanautaka lazima ufuate taratibu toka mwanzo sio kulazimisha tu wakati hatua za mwanzo zimekosewa, huyu jaji mnatumia nguvu nyingi kumlinda bila sababu.

Unavyosema haki ya Mbowe haiwezi kupewa kama jamhuri bado ina ushahidi ni uongo, haya ni mawazo yako binafsi hayapo kisheria, hivi kama Chadema wangekuwa wameishtaki jamhuri na hati ya mashtaka Chadema wakaikosea unadhani jaji angetoa maelekezo kama aliyotoa kwa upande wa jamhuri? hii kesi ni ya kisiasa usihangaike kuwalinda wateule wa CCM.
Mkuu zipo kesi zimeamua hao inayosema kwa kukusaidia nenda google kaandike Tanzlii then ikifunguka tafuta 'amendment of charge sheet' au tafuta kwa namna utakayoona wewe inakufaa, kisha utaweza kujua maamuzi a Maaji kwenye swalakama hili la Mh. Mbowe.

ukisema kuwa Mh. Mbowe anaweza kuipata haki yake bila kusikiizwa Jamhuri uakosea labda kama hajui maana ya 'Haki', hakuna haki inapatikana bila pande zote kusikilizwa hiyo sio haki, kwa msingi huo ili Mh. Mbowe apate haki yake Jamhuri lazima wasikilizwe Mkuu.

iwe itakavyokuwa ama washindwe kutoa ushahidi wakumpata na hatia au washindwe kuonesha kuwa kuna kesi ya kujibu ila vyovyote watakuwa wamesikilizwa.

samahani Mkuu hivi ulifikiri nimemaanisha nini niliposema kuwa Jamhuri lazima wasikilizwe pia?, kusikilizwa haimaanishi kushinda Mkuu wala usione kama Mh. Mbowe atakuwa kaonewa kama Jamhuri wakisikilizwa, Laah!.
 
The fundamental question is: Did the court dismiss the charges? The answer is no; the court just ordered amendment of the charge sheet.

Curable defects shouldn’t result in downright dismissal of such serious charges!
Haya ni maoni yako ya kufikiri toka kichwani tu. Hayana uhusiano na matakwa ya kisheria 100%...

Ukitaka kuwa fair & just ktk kutoa maoni yako juu ya hili, basi ni vyema sana kabla ya yote ukajiuliza na kuwa na majibu sahihi ya maswali haya muhimu;

1. Kesi ya jinai (criminal case) kwa mujibu wa sheria ni nini..?

2. Utaratibu wa kuanzisha mashtaka ya kijinai kama haya yanayomkabili Mbowe na wenzake kisheria ukoje...?

3. Hati ya mashtaka [charge sheet] ni kitu gani? Na kazi yake ni nini? Ni nini umuhimu wake katika shauri zima? Kwanini imepingwa kisheria na hakimu kukubali kuwa kweli haijakidhi matakwa ya kisheria...?

4. Tukishajiuliza maswali hayo na kupata majibu yake, ndipo tunamaliza na kupata jibu la swali hili kuwa, kama mahakama imejiridhisha kuwa charge sheet haina hadhi kisheria, nini kinafuata...?

Ni mawili au manne:

1. Charge sheet ndiyo inatoa description ya kosa/makosa anayohumiwa nayo mtuhumiwa kuyatenda, yaani NINI, WAPI, LINI na KWA NAMNA GANI

Kwa ufupi, charge sheet ndiyo picha nzima ya kesi yote. Na sheria imeelekeza hatua kwa hatua nini yule anayeshtaki afanye...

Kukosea step yoyote ktk kuandaa charge sheet na ikathibitika hivyo kisheria, automatic kunakuwa hakuna shauri mahakamani au shauri zima linakuwa batili....!

2. Katika mchango wako umeuliza: Did the Court dismiss the charge?

Japo umejijibu mwenyewe kwa kusema "NO", lakini jibu sahihi linapaswa kuwa, "YES" kwa sababu bado hakuna kesi mbele ya mahakama kwa mujibu wa sheria..!

RWMEMBER:
Charge sheet ndiyo ina determine kuendelea na hatua inayofuata katika shauri au la; pande mbili zianze kusikilizwa au la. Sasa kama cha kusikilizwa hakipo, mahakama isikilize nini...?

3. Umesema pia, "the Court has just ordered the amendment of the charge sheet"

Yes, imesema hivyo. Na hapa ndipo kosa la hakimu/jaji/mahakama lilipo na ndiyo chanzo cha chaos hii yote hata sisi kujadiliana hapa...

Ni kama vile mahakama na Jaji Luvanda imechagua kuwa upande wa waendesha mashtaka jambo ambalo siyo jukumu lake na hii imeleta picha ya biasness...

Hili hata Jaji Luvanda mwenyewe aliliona na ndiyo maana hakusita kujitoa alipotamkiwa na washtakiwa kuwa hawana imani naye...!

On contrary, alichopaswa kutamka Jaji baada ya kujiridhisha kuwa charge sheet ina makosa ya kisheria, ilikuwa ni kuwaambia upande wa mashtaka kwenda kuandaa charge sheet upya kama wanadhani bado wana nia ya kushtaki...

Na kwa upande wa pili mahakama ilipaswa kutamka straight forward kuwa washtakiwa wako huru...!!

Kwa hili gumu kumeza lakini ndiyo matakwa ya sheria hayo!!

4. Umesema pia, "siyo sahihi kuacha makosa serious kama hili yapite"

Kwanza, kwa hoja hii unathibitisha kuwa unasukumwa na personal emotions kuandika....

Pili, siyo kazi ya mahakama kukaa na mtuhumiwa ambaye hajaletwa mbele yake bado na kuona kuwa ana kesi ya kujibu...!!

Kama Jamhuri wanaona mtu huyo bado anastahili kushtakiwa, basi wafuate utaratibu za kisheria kum - detain na kisha kumfungulia mashtaka upya bila kufanya makosa ya kijinga kama waliyofanya...!!!

Hiki ndicho kinachosemwa na watu wengine kama "anaachiwa na kisha anakamatwa tena"

Hili wala halina shida kama linafanyika kwa mujibu wa sheria...!!

Asante
 
Kila kesi ni unique na kila decision anayoitoa judge lazima iwe reasoned. Je, unajua judge alijiongozaje katika kufikia decisions alizozifanya?

Mara nyingi watu tunakimbilia kukosoa hata kabla hatujapata all relevant pieces of information. Ili tuachane na speculations, tuwekee copy/copies ya/za ruling(s) yake/zake hapa, kama tayari ina/zinapatikana!
 
Hadi muda huu Mh. Mbowe anashikiliwa kimakosa sababu hana mashitaka sababu hati ya mashitaka ilishaondolewa mahakamani haipo.

Aisee huu ni uonevu mkubwa sana inabidi dunia itambue kwamba Tanzania tuna matatizo makubwa sana katika mfumo wa utoaji haki.
 
Sioni kama marehemu atafufuka hapa mnachelewesha mazishi , kurefusha matanga na kuwachosa walala matanga
Kwa kuwa unayo ilehukumu ya mfukoni mwenu na wabambikiaji wenzio sio?
 
Kila kesi ni unique na kila decision anayoitoa judge lazima iwe reasoned. Je, unajua judge alijiongozaje katika kufikia decisions alizozifanya?
Eleza uniqueness yake tukuelewe

Mimi sijui alijiongezaje. Hakukuwa na maekezo ya ziada toka kwa Jaji. Kama wewe unajua, unaweza kutupa maelezo ya namna alivyojiongeza...!
Mara nyingi watu tunakimbilia kukosoa hata kabla hatujapata all relevant pieces of information.

Ukiona watu wanahoji, that means, there's no other extra relevant and correct information isipokuwa kuonekana wazi kwa kosa lililofanywa na Jaji Luvanda...!
Ili tuachane na speculations, tuwekee copy/copies ya/za ruling(s) yake/zake hapa, kama tayari ina/zinapatikana
Kwani ruling ilitolewa chumbani Mkubwa? Ruling ilitolewa openly kwa sauti kila mtu aliyekuwemo mahakamani pale alisikia..

That means, hata kama utasubiri ile written document yenyewe haiwezi kuwa tofauti na kilichotamkwa kwa mdomo...!
 
Eleza uniqueness yake tukuelewe

Mimi sijui alijiongezaje. Hakukuwa na maekezo ya ziada toka kwa Jaji. Kama wewe unajua, unaweza kutupa maelezo ya namna alivyojiongeza...!

Ukiona watu wanahoji, that means, there's no other extra relevant and correct information isipokuwa kuonekana wazi kwa kosa lililofanywa na Jaji Luvanda...!

Kwani ruling ilitolewa chumbani Mkubwa? Ruling ilitolewa openly kwa sauti kila mtu aliyekuwemo mahakamani pale alisikia..

That means, hata kama utasubiri ile written document yenyewe haiwezi kuwa tofauti na kilichotamkwa kwa mdomo...!

Mimi sijui kwasababu sikuwepo mahakamani. Cha ajabu ni kwamba hata wale ambao walikuwepo mahakamani hawaelezi jinsi judge alivyojiongoza katika kufikia decisions alizozifanya. Nasita kuamini kwamba judge anaweza kutoa unreasoned decision. Ndiyo maana nikasema tukipata nakala ya/za hiyo/hizo ruling(s), kuna maswali yatajibika kwa urahisi.
 
Mkuu zipo kesi zimeamua hao inayosema kwa kukusaidia nenda google kaandike Tanzlii then ikifunguka tafuta 'amendment of charge sheet' au tafuta kwa namna utakayoona wewe inakufaa, kisha utaweza kujua maamuzi a Maaji kwenye swalakama hili la Mh. Mbowe.

ukisema kuwa Mh. Mbowe anaweza kuipata haki yake bila kusikiizwa Jamhuri uakosea labda kama hajui maana ya 'Haki', hakuna haki inapatikana bila pande zote kusikilizwa hiyo sio haki, kwa msingi huo ili Mh. Mbowe apate haki yake Jamhuri lazima wasikilizwe Mkuu.

iwe itakavyokuwa ama washindwe kutoa ushahidi wakumpata na hatia au washindwe kuonesha kuwa kuna kesi ya kujibu ila vyovyote watakuwa wamesikilizwa.

samahani Mkuu hivi ulifikiri nimemaanisha nini niliposema kuwa Jamhuri lazima wasikilizwe pia?, kusikilizwa haimaanishi kushinda Mkuu wala usione kama Mh. Mbowe atakuwa kaonewa kama Jamhuri wakisikilizwa, Laah!.
Hata kesi zilizofutwa kwa kukosewa charge sheet na maamuzi kupewa upande wa pili zipo, tatizo hizi nyingi hutumika kuwa favour CCM, na kwenye moment kama hizi huwa hamuongei mpo kimya (japo hupendi hii kesi iwekwe kisiasa).

Haki lazima ipatikane kwa mtu kwa kufuata taratibu zilizowekwa, na moja ya taratibu hizo ni kufuata misingi ya sheria inasema nini pale mtu anapodhulumiwa haki yake, apite njia zipi kwa ukamilifu ili kumuwezesha kuipata haki yake, lakini kama akikosea kufuata njia hizo sioni ni kwa vipi mtu huyo anastahili hiyo haki.

Kitendo cha kumfundisha afanye nini ili aipate wakati mwenzake alishafanya sawa kuanzia mwanzo ni kuchelewesha haki kwa anayeistahili na wao husema; "justice delayed is justice denied"

Kama unadhani hiki unachokisema wewe ni sahihi, basi pasingekuwepo na kesi inayoamuliwa kwa technicalities mahakamani, kesi zote zingekuwa zinasikilizwa mpaka mwisho kwa sababu hata hao huwa na ushahidi wa kesi zao.
 
Kwa kuwa unayo ilehukumu ya mfukoni mwenu na wabambikiaji wenzio sio?
Nikwambie kitu- SSH kesha sema hataki kesi za kubambika mara kadhaa- niamini Giadi huyu atakula mvua kama mwendo wenu ni huu ya kesi matandaoni.
 
Kwa vijana wa Chadema, Jaji kujitoa kwenye kesi wanafikiri is a big deal, lakini kumbe ni jambo la kawaida kabisa. Nina rafiki yangu hapa Mwanza ana kesi na mimi ndie mshauri wake kwenye hiyo kesi na wote hatujasomea sheria na hatujui sana sharia, lakini juzi tumepeleka hoja ya kutokuwa na imani na Hakimu na Hakimu amejitoa temepangiwa Hakimu mwingine.
Big deal ipo shekh sasa wewe unalinganisha kesi yako ya maandazi na kesi ya ugaidi!?be serious bro!
Ur a lay person,Mbowe is national figure
 
Hata kesi zilizofutwa kwa kukosewa charge sheet na maamuzi kupewa upande wa pili zipo, tatizo hizi nyingi hutumika kuwa favour CCM, na kwenye moment kama hizi huwa hamuongei mpo kimya (japo hupendi hii kesi iwekwe kisiasa).

Haki lazima ipatikane kwa mtu kwa kufuata taratibu zilizowekwa, na moja ya taratibu hizo ni kufuata misingi ya sheria inasema nini pale mtu anapodhulumiwa haki yake, apite njia zipi kwa ukamilifu ili kumuwezesha kuipata haki yake, lakini kama akikosea kufuata njia hizo sioni ni kwa vipi mtu huyo anastahili hiyo haki.

Kitendo cha kumfundisha afanye nini ili aipate wakati mwenzake alishafanya sawa kuanzia mwanzo ni kuchelewesha haki kwa anayeistahili na wao husema; "justice delayed is justice denied"

Kama unadhani hiki unachokisema wewe ni sahihi, basi pasingekuwepo na kesi inayoamuliwa kwa technicalities mahakamani, kesi zote zingekuwa zinasikilizwa mpaka mwisho kwa sababu hata hao huwa na ushahidi wa kesi zao.
Dah! Mkuu wewe ni kiboko, ila nitajitahidi niwezavyo kukuelewesha ukigoma kuelewa sitakuwa na msaada tena.

Mkuu kweli zipo kesi zilizofutwa kwa kukosewa charge ila inakubidi ujue kuna kitu kinaitwa muda, ukizitafuta utakuta ni kesi za siku nyingi na huo utaratibu Mahakama imeshaamua tofauti kwa hiyo ukitumia kesi hizo ni umetumia sheria mfu 'dead law' na hata kama akimu akikubaliana na wewe tutasema Hakimu amejiongeza vibaya. hapo nakupa kazi ya kufuatilia kama dead law ni applicable rudi kule Tanzlii.

Ishu ya kusema kuwa kuwafundisha upande wa pili wakati mwenzake alishafanya sawa ipo hivi, kwa sasa kuna kitu kinaitwa 'Oxygen principle' Mahakama haziangaiki na mambo ya techicality sababu technicality zimepelekea watu wengi kukosa haki zao, kwa hiyo hapa napo unatembelea dead law Mkuu

Tatizo nililoliona kwako Mkuu ni unafikiri kwenye hii kesi mtu mwenye haki ni Mh. Mbowe tu, jibu ni hapana mwenye haki sio Mh. Mbowe tu hata Jamhuri nao wana haki kwa hiyo unaposema unataka haki isimamiwe unatakiwa uiumlishe na haki ya Jamhuri pia. umenukuu vizuri hapo "justice delayed is justice denied" sasa kwanini unataka haki ya Jamhuri iwe delayed kwa kufuta kesi waje upya tena? kwanini usiwaambie waka amend ili usiwacheleweshee haki yao? hapo ongezea na ule msemo "sio haki itendeke tu, bali ionekane ikitendeka"

Mwisho Mkuu sheria inabadilika sana usikae na sheria ya mwaka jana soma kesi tofauti tofauti (hasa za sasa) ili upate tafsiri na application za mambo mbali mbali.
 
@ Mgeni wa Jiji.

Hayo maelezo yako hapo juu yanavunja sheria nyingine, mojawapo ni ile inayomtaka mtuhumiwa afikishwe mahakamani saa 48 baada ya kukamatwa na kuchukuliwa maelezo, wewe unachotaka hapa ni akae ndani muda wote mpaka charge iwe amended.

Mbowe ndie mwenye haki mpaka hapo kesi ilipofikia, kama unabisha mpaka hilo all the best, hii kesi ina mambo mengi nje ya taaluma yanaingilia kati, na usilazimishe haki zako kwa kukandamiza za wengine hasa ukizingatia mashtaka ya Mbowe hayana dhamana.

Kulazimisha haki itendeke wakati upande mmoja umeshaonesha udhaifu na unaongozwa na jaji wa upande wao (mamlaka ya uteuzi) ni kujidanganya, hapo hakuna equality & fairness ( usiwasemee usiowajua their motive behind).

Mwisho nipe sheria inayokataza kesi kuamuliwa kwa kuangalia technicalities tumalize mjadala.
 
Hadi muda huu Mh. Mbowe anashikiliwa kimakosa sababu hana mashitaka sababu hati ya mashitaka ilishaondolewa mahakamani haipo.

Aisee huu ni uonevu mkubwa sana inabidi dunia itambue kwamba Tanzania tuna matatizo makubwa sana katika mfumo wa utoaji haki.
Mwisho wa ccm umekaribia mkuu, tuwe wavumilivu kidogo
 
Back
Top Bottom