Ufafanuzi wa Mapigo Kumi ya Wamisri!

Kutokana na elimu niliyofundishwa mapigo hayo hayakutoka kwa Mungu, Zikikuwa ni chamgamoto za mabadiliko ya hali ya hewa tu
Hata kama uliyosema ni kweli,ila bado mungu mwenyewe ndo alisema atatoa hayo mapigo. ..baada ya kusema hivyo ndo yakatokea hayo yote...
 
[emoji23]
 
Bible yasema kuwa MAPIGO HAYO HAYAKUWAPATA WANA WA ISRAELI ..... yaliwapata WAMISRI TU .... Je hao vyura, chawa, maji kuwa damu, VIFO VYA WAZALIWA WA KWANZA nk. majanga yote hayo yaliwapata WAMISRI pekee kwa kuwa WANA WA ISRAEL hawakuwamo MISRI? .... Why na wao yasiwapate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…