Ufafanuzi wa mda wa Pambano la Mayweather Jr Vs Manny Pac

Ufafanuzi wa mda wa Pambano la Mayweather Jr Vs Manny Pac

Mbona super sport 3 na ni CAT hapo vipi naona ka huku itakua SAA kumi hivi tarehe Tatu.

Onyesho linaanza saa saba usiku ndio milango inafunguliwa,Kwa mujibu wa ratiba ya pambano la TMT vs MAN PAC litaanza kuonyeshwa saa mbili usiku Las Vegas,Pia kumbuka kwamba Tunatofautiana masaa 10 kati ya Las Vegas na DSM(TZ 10Hrs Ahead).

kwa Kuangalia ebu check Timer kwenye link inaonyesha kabisa imebaki siku moja(24Hrs) na Masaa 8,Unyambua badi siku moja inamaanisha mpaka siku moja ipite itakuwa tarehe mbili haya hivi sasa ni saa nne usiku Jumlisha masaa nane kutoka sasa saa nne inamaanisha itakuwa saa 12 asubuhi ambayo itakuwa tarehe tatu.

Timer: What time does the Mayweather vs Pacquiao fight start on Saturday and what channel can I watch it on? - Telegraph
 
Timer.jpg
 
Wengine wanajua ni tarehe mbili asubuhi,wakumbuke kwamba sie(TZ) na Las Vegas,Nevada Tumewazidi Masaa 10...Yaani tupo Mbele Masaa 10.

duuh kumbe tupo mbele hivyo kimasaa? Why wao wapo mbele kimaendeleo! (natania)
 
Dah!! Ahsanteni kwa kutuweka sawa me nilikuwa najiandaa kutoboa kumbe mda ni ngoma 12 kukipambazuka kabisa.
 
team mywethet.kama mpenzi wa ndonga huna haja yabkulemba na kumbwera yaani ni full upopo aiseee.

kuanzia saa 7 watu tushawasili kwenye luninga kucheki buti za utanguliziiii.

jidanganyeni weee na mdaa mnaamka saa 12 watu wanakusanya viti mywether kasha mkalisha mtu
 
Kwa hiyo nikipanda ndege saizi kwenda Las vegas naliwahi hilo pambano?
Dah! maana kulichekia kwenye vibanda umiza inakera sana, mara mjambiane, sipendagi kwa kweli!
 
Wadau hili pambano litakua muda gan wa hapa bongo na ni tv station gan watarusha live
 
Mpambano huu utakuwa na mapambano ya utangulizi kama matatu au mawili sina hakika. Wanaweza kuanza kuonyesha tangia saa 9,10 au 11 alfajiri ya Bongo. Sasa kutegemea hayo mapambano ya utangulizi yatakavyochukua muda, yaani kama kuna KO ya mapema pambano litaisha mapema au kama round zote pambano litachelewa. Muda utayochukua mapambano ya utangulizi ndio yata-determine muda wa 'fight of the century'. Inaweza ikawa saa 12 au 12 na nusu au hata kumi na moja na nusu etc. Kama unataka kuona mpambano nakushauri uwe karibu na TV tangu saa 11 alfajiri.
 
Hili pambano amka zako saa 7 usiku kesha nalo kama upo kwako. Kama unaangalizia club nenda hata saa nne usiku kesha.
Mambo ya kuamka saa 12 asubuhi utakuta pambano limeisha,na kama unaenda club waweza kuta walinzi wa club ndio wanafunga mageti pambano quishney!
 
Back
Top Bottom