Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
- Thread starter
-
- #21
Mbona super sport 3 na ni CAT hapo vipi naona ka huku itakua SAA kumi hivi tarehe Tatu.
Onyesho linaanza saa saba usiku ndio milango inafunguliwa,Kwa mujibu wa ratiba ya pambano la TMT vs MAN PAC litaanza kuonyeshwa saa mbili usiku Las Vegas,Pia kumbuka kwamba Tunatofautiana masaa 10 kati ya Las Vegas na DSM(TZ 10Hrs Ahead).
kwa Kuangalia ebu check Timer kwenye link inaonyesha kabisa imebaki siku moja(24Hrs) na Masaa 8,Unyambua badi siku moja inamaanisha mpaka siku moja ipite itakuwa tarehe mbili haya hivi sasa ni saa nne usiku Jumlisha masaa nane kutoka sasa saa nne inamaanisha itakuwa saa 12 asubuhi ambayo itakuwa tarehe tatu.
Timer: What time does the Mayweather vs Pacquiao fight start on Saturday and what channel can I watch it on? - Telegraph