Ufafanuzi wa NHIF baada ya kusitisha huduma ya Bima ya TOTO AFYA KADI

Ufafanuzi wa NHIF baada ya kusitisha huduma ya Bima ya TOTO AFYA KADI

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
NHIF 1.jpg

NHIF 2.jpg


Pia soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha
 
Changamoto ya huu mfuko ni kutaka kujiendesha kwa faida wakati ni huduma ambapo mwananchi anatakiwa kufanya cost sharing
Afu mishahara ilipwe na nani?
 
Dahh [emoji24] [emoji24] inauma Sana Kuna ambao hata hiyo ya 50400 ilikuwa changamoto Sasa hiyo 192k wataweza
TZ nchi yangu dahhh tunapoenda sijui wapi yani
Tusitukuze umasikini.
 
Kwa kifupi hii Afya Toto imekufa rasmi
1. Asilimia kubwa ya wateja wenu walikua ni watoto wa miaka 1-3 ambao kwa kifup hawajaanza shule so mzaz aliona bora alipe.kwa ajili ya afya mtoto kuliko kaya nzima kwasababu ya kipato

2. Shule nyingi za serikali hazina huu utaratbu wa kukata bima kwa ajili ya wanafunzi so mlichofanya mmehamisha tu goli na bahati mbaya hamjaweka ufafanuzi wa kiwango cha kulipia kwa hzo shule ama vituo vya yatima kama ambavyo mmeeleza

3. Vifurushi vya najali afya na vinginevyo ambavyo mnasema watoto wapitie huko kupitia wazaz wao sio rafik kwa watanzania wengi wa kawaida so haitakua rahis kwa maana ya gharama ni kubwa na ni kwa mkupuo

4. Afya bure kwa watoto chini ya miaka 5 nyie wenyewe mnajua kwa field haiko hvyo so hapo mmetupanga na mmerudsha lawama kwa serikali
 
Binafsi sipendi kuutukuza lakini ukweli usemwe not siasi but reality Kuna watanzania ambao Bima ya toto ni tegemezi kubwa Sana kwaooo
Walioungwa ni 217,000 je hao wengine walikuwa wakitibwa vipi?
 
Nimtafute dr manyaunyau anikatie bima mie HIRIZI MOJA KUUUBWA inayopumua
 
Bado tuu mnatoa ufafanuzi usio na tija kwetu.

yaani nikamsajili mtoto kwenye kituo cha kulelea yatima kisa hajaanza shule nami sina uwezo wa kujilipia bima kama familia?

Hivi hawa wanaotunga hizi sera ni binadamu wa kawaida au ni maroboti?

Kweli ndio tumefikia hatua hii ya kuwaza vitu vya namna hii kabisa?

Muheshimiwa rais tunajua unapitia huku hawa wateule wako hawajali maslahi ya watanzania ambao sisi ndio tumekuteua wewe na kisha wewe ukawaamini kuwapa hiyo dhamana leo hii wanapandisha mabega kwa kuleta sera ya hovyo, hiyo toto kadi bei yake bado ilikuwa si himilivu kwa watu wote sasa leo ndio waje waseme wameona unafuu ni watu kujisajili kwa vifurushi vya family kweli?.
 
Changamoto ya huu mfuko ni kutaka kujiendesha kwa faida wakati ni huduma ambapo mwananchi anatakiwa kufanya cost sharing
Mfuko umeelemewa,
Watu wanakata bima wakijua kuwa watoto wao ni wagonjwa ,
Bima inapata faida kama watu hawaingii kwenye majanga,
 
Mentality nzuri ya kuwa nayo ni;
1. Afya yangu ni jukumu langu na linaathiri familia.
2. Kuwaempower unaowapenda nao wajue kuwa afya yao ni jukumu lao na wanaathiri familia.
Sisitiza kwenye jukumu, with great responsibility comes great power, the healthiest pholosophy to live with.
 
Back
Top Bottom