Ufafanuzi wa NHIF baada ya kusitisha huduma ya Bima ya TOTO AFYA KADI

Kwenye hili, wapinzani wakikaa kimya, itakuwa vituko. This is big agenda. Maana kamati za bunge zipo kimya
 
Sasa kwani Bima unakata ili upige nayo picha
Bima yoyote ili kampuni inayotoa hiyo bima iendelee kupata faida sokoni ,lazima kuwe na wateja wanaolipa na hawatumii hiyo service
Mqanangu alikuwa na shida ya kuota vinyama kooni amabavyo vilikuwa vinampa shida ya kupumua kadiri anavyokua, kwa bima hiyo ya 54000 bill ya operation hospital ilikuja kama 470,000, kimahesabu mwanangu alitafuna kama michango ya watoto 9 huko Nhif, shida ipo hapa kama na hao watoto 9 nao waliugua maana yake mfuko utafilisika ndo kilichotokea
 
Kumbuka unazungumzia watoto hapo

Bado wanatakiwa kuwaza zaidi na zaidi yani kumbuka unaongelea mtoto je huyo mama na mtoto akikata ya 192k wakahudumia tatizo la 470k faida kwao ipo wapi?
Wanakula kodi kila sehemu wangewaacha watoto ingekuwa bora
 
Bima ya watoto ndio yenye complications wao kwa sh 54000 wana acces ya Timiza, Timiza ni kifurushinghalincha mfukonwa bima , mtu mzima bima ya ya 192k ni kifurushi cha najali .
Kumbuka pia mtoto ana range 0 to 18 years, watoto hao wakisha fika umri wa balehe wana complications pia za afya ,hasa mimba za utotoni
 
Back
Top Bottom