Ufafanuzi wa ninacho kifahamu kuhusu JamiiForums Fantasy League

Ufafanuzi wa ninacho kifahamu kuhusu JamiiForums Fantasy League

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Habari, mnamo tar 6/8/2023 nlianzisha uzi huu Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL ambao ulikuwa unahusu haja ya kuanzishwa FPL ya Jamii Forums.

Kufuatia uzi huo members mbalimbali walipata muamko wa kuhitaji kupatikana ligi hiyo, wengine walikwenda mbali na kufungua leagues.

Jitihada zilifanyika kupatauongozi wa JamiiForums na kufanikiwa kupata league inayo kwenda kwa jina la JamiiForums Fantasy League yenye joining code hsyx67 na auto join link Fantasy Premier League, Official Fantasy Football Game of the Premier League.

Kwa kusema hayo ifahamike hii ndiyo league yenye baraka za uongozi wa JF na administrator wa hii league ni kiongozi wa JF, mimi ni member wa ligi na nilileta wazo, na mpaka sasa binafsi sijaona tangazo au tamko lolote linahusu winner's prizes au pesa ni just for Fun.

Screenshot_20230810-101610.png

Nimekutana na league kama mbili nyingine ndio maana nkaona niweke ninachokifahamu kuhusu FPL JF.
 
Ndio kitu gani maana ? nasikia tu fantasy ligi
 
Ufafanuzi wako ni kuhusu wale wanaoijua au wasioijua hiyo ligi?

Maana sijapata kiti kwakweli, wenye ujuzi wa hiyo kitu afafanue basi maana nimeona maokoto pale.
 
Back
Top Bottom