Ufafanuzi wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania(TCU) juu ya utoaji Shahada za Heshima

Ufafanuzi wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania(TCU) juu ya utoaji Shahada za Heshima

Naona TCU kwa hiyo barua yao wamekaa kiuwoga uwoga na kiujanja ujanja, kwanza wamekuja na lugha ya malkia huku wakitumia intellectual term kibao.

Sisi tunataka TCU waseme sasa, je zile Phd za kina Msukuma ni halali au haramu?
Kama ni haramu, hatua gani zichukuliwe, wamezichukua au watazichukua?
In no uncertain terms, mbona hiyo barua inamruka, "Dr" Msukuma!

In short ulichopewa hakitambuliwi na hakikidhi viwango.
 
Jamani mwacheni na PhD yake aunamuonea wivu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Du...hata wewe unashindwa kufikiri?

Sasa Jidu...

Sheria inaweza ikawa ile ile, isipokuwa habari ya ndugu yetu imeweka reference ya zamani, kiasi kwamba inatia dosari kwenye kuonesha hilo tamko kama ni la leo au la zamani...

Haina maana msukuma kapata kweli phd ya heshima 😁😁
 
Sasa Jidu...

Sheria inaweza ikawa ile ile, isipokuwa habari ya ndugu yetu imeweka reference ya zamani, kiasi kwamba inatia dosari kwenye kuonesha hilo tamko kama ni la leo au la zamani...

Haina maana msukuma kapata kweli phd ya jeshima 😁😁
TCU kwa hiyo barua....
1. Walisha sema na kuweka msimamo siku nyingi.
2. Chuo walichompa "PhD " Msukuma hakina uhakika kutambulika na TCU.
3. Msukuma inaelekea hajaenda kuwasilisha "PhD" yake TCU ili itathminiwe uheshima wake.
 
Ili iwe TYPING ERRORS kweli tuchunguze barua iliandikwa

- tarehe 19 ya mwezi upi maana 19 December bado
-kosa liwe kwenye mwezi ulioandikwa kwa maneno. Heri ingekuwa 12 sio February (haina uhusiano wowote na Dec.)
-2020 karibu miaka miwili inaisha
 
Hilo la TCU lilikuwa angalizo la muda mrefu.
Kwani PhD fake zimeanza leo?
 
Typing error
musukuma anapenda ucheshi..

Ni award ambayo shabaha yake (yeye mbunge) ni capture public attention...naye ndio furaha yake.
na amefanikiwa.

Musukuma hana mpango wa kuomba ajira popote...na wala hafikirii kuwa sehemu ya baraza la mawaziri..

Sasa mnahangaika nae wa nini..take it as amusement.
 
Kasema Ataongea ijumaa sasa hivi yeye ana wasoma tu.
 
Sina uhakika kama hii lugha waliyotumia TCU Dr. Msukuma ataielewa, pamoja na kujinasibu kwamba ataanza kuitwa maeneo mbalimbali kwenda kusuluhisha migogoro nina wasiwasi na lugha atakayotumia kwenye usuluhishi, kama ni kisukuma, kizaramu au kibeberu.......huyo ndo Dr. Kasheku bhana mzee wa open visa.....​
 
Back
Top Bottom