Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
In no uncertain terms, mbona hiyo barua inamruka, "Dr" Msukuma!Naona TCU kwa hiyo barua yao wamekaa kiuwoga uwoga na kiujanja ujanja, kwanza wamekuja na lugha ya malkia huku wakitumia intellectual term kibao.
Sisi tunataka TCU waseme sasa, je zile Phd za kina Msukuma ni halali au haramu?
Kama ni haramu, hatua gani zichukuliwe, wamezichukua au watazichukua?
Du...hata wewe unashindwa kufikiri?Naona tunarudi nyuma miaka sio???
Barua ya Feb 19, 2020 ilihali dunia ipo Dec 2021
Du...hata wewe unashindwa kufikiri?
TCU kwa hiyo barua....Sasa Jidu...
Sheria inaweza ikawa ile ile, isipokuwa habari ya ndugu yetu imeweka reference ya zamani, kiasi kwamba inatia dosari kwenye kuonesha hilo tamko kama ni la leo au la zamani...
Haina maana msukuma kapata kweli phd ya jeshima 😁😁
Typo ya aina yake basi hii...!! Mtu anafanya typo mwanzo mwisho...? Ingekua namba moja tu ya mwisho sawa.Typing error
Hilo la TCU lilikuwa angalizo la muda mrefu.Ili iwe TYPING ERRORS kweli tuchunguze barua iliandikwa
- tarehe 19 ya mwezi upi maana 19 December bado
-kosa liwe kwenye mwezi ulioandikwa kwa maneno. Heri ingekuwa 12 sio February (haina uhusiano wowote na Dec.)
-2020 karibu miaka miwili inaisha
musukuma anapenda ucheshi..Typing error
Kwelii hiimsukuma hawezi kuelewaWangeweka kwa Kiswahili.
Barua ya feb 2020 unasema ni ya tamko la leoTume ya vyuo vikuu Tanzania TCU imetoa tamko kuhusu utaratibu wa utoaji wa shahada za heshima yaani honorary degrees,hii ni kutokana na mjadala wa PhD ya heshima aliyopewa Dkt.Msukuma hivi karibuni.
Kwani taratibu za TCU zimebadirika mwaka 2021?Naona tunarudi nyuma miaka sio???
Barua ya Feb 19, 2020 ilihali dunia ipo Dec 2021