Ufahamu kuhusu bima ya gari ya siku 7

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
368
Reaction score
425
Wakuu habari ya wikiendi....

Napenda kufahamishwa kuhusu bima ya gari ya siku 7. Niliwahi kusikia mtu unaweza kukata bima ya siku ya 7 kwa gari lako. Naomba kufahamishwa kama ni kweli na je ni kampuni gani zinakata hiyo bima na kwa gharama gani.
 
Sasa kweli bima ya siku saba? Hapo labda kama kuna ajali unataka kuitengeneza.
 
Mmmmmmhmn sijawahi sikia. Labda kama ipo na itakuwa ya bei sana na kwa matumizi maalumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…