Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 368
- 425
Wakuu habari ya wikiendi....
Napenda kufahamishwa kuhusu bima ya gari ya siku 7. Niliwahi kusikia mtu unaweza kukata bima ya siku ya 7 kwa gari lako. Naomba kufahamishwa kama ni kweli na je ni kampuni gani zinakata hiyo bima na kwa gharama gani.