The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,580 Reaction score 7,203 Oct 12, 2022 Thread starter #21 Banjuka said: Vipi kuhusu Markpass za ufaulu QT, Wastani ilikua ngapi? Click to expand... Necta hawasemi ukifaulu utaambiwa tu "pass" na ukifeli ni "failed" japo tetesi kwa QT wastani ni 35
Banjuka said: Vipi kuhusu Markpass za ufaulu QT, Wastani ilikua ngapi? Click to expand... Necta hawasemi ukifaulu utaambiwa tu "pass" na ukifeli ni "failed" japo tetesi kwa QT wastani ni 35
Banjuka JF-Expert Member Joined May 7, 2021 Posts 1,007 Reaction score 1,922 Oct 12, 2022 #22 The Transporter said: Necta hawasemi ukifaulu utaambiwa tu "pass" na ukifeli ni "failed" japo tetesi kwa QT wastani ni 35 Click to expand... Hapo wastani 35 ndio sijaelewa vizuri, yaani kwamba kila somo upate 35, ama masomo yote tano jumla upate hiyo 35?
The Transporter said: Necta hawasemi ukifaulu utaambiwa tu "pass" na ukifeli ni "failed" japo tetesi kwa QT wastani ni 35 Click to expand... Hapo wastani 35 ndio sijaelewa vizuri, yaani kwamba kila somo upate 35, ama masomo yote tano jumla upate hiyo 35?
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,580 Reaction score 7,203 Oct 12, 2022 Thread starter #23 Banjuka said: Hapo wastani 35 ndio sijaelewa vizuri, yaani kwamba kila somo upate 35, ama masomo yote tano jumla upate hiyo 35? Click to expand... Paper la QT huwa ni masomo matano ambayo siku ya paper yote yanakuwa kwenye karatasi moja hivyo wastani wako uwe 35 kwa masomo yote sio Somo moja moja
Banjuka said: Hapo wastani 35 ndio sijaelewa vizuri, yaani kwamba kila somo upate 35, ama masomo yote tano jumla upate hiyo 35? Click to expand... Paper la QT huwa ni masomo matano ambayo siku ya paper yote yanakuwa kwenye karatasi moja hivyo wastani wako uwe 35 kwa masomo yote sio Somo moja moja
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,580 Reaction score 7,203 Oct 12, 2022 Thread starter #24 Banjuka nenda kakomae punguza hofu utatoboa