Ufahamu kuhusu Elimu ya QT

Ufahamu kuhusu Elimu ya QT

Hapo wastani 35 ndio sijaelewa vizuri, yaani kwamba kila somo upate 35, ama masomo yote tano jumla upate hiyo 35?
Paper la QT huwa ni masomo matano ambayo siku ya paper yote yanakuwa kwenye karatasi moja hivyo wastani wako uwe 35 kwa masomo yote sio Somo moja moja
 
Back
Top Bottom