Ufahamu kuhusu kulangua mpunga.

Asante mkuu. .. Ifakara lazima niende huko
 
Mhh mimi mbona sijaelewa hiyo ndoo ukiifanya hivyo ndio inakuwa ina saidia mechanism gani
Yaani ni kuongeza ukubwa wa ujazo!! Kule wanapima mpunga kwa ndoo, yaani gunia moja ni ndoo 7!!sasa ukiitumia hiyo kupimia utakuta ukija kupima kwa ndoo za kawaida utakuta unapata ndoo tisa!!! Hivyo mkulima amepunjwa ndoo mbili!! Sasa mtu ana gunia mia hapo ameiba ndoo nyingi sana!!
 
Aisee huo sio Utu
 
Aisee huo sio Utu
Ni kweli ila ukisema upime kwa ndoo za kawaida huwezi toka kabisa!!! Kwani humo humo kuna mwingine ni makapi hauna mbegu ndani!! Bado mashineni kwenye kuuandaa unapoanikwa lazima upungue!!, umwagikeila ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…