Ufahamu kuhusu nyota za angani

Ufahamu kuhusu nyota za angani

Pia idadi ya nyota zilizo angani ni nyingi kuliko hata idadi ya binadamu tuliopo duniani
 
Nin kimetokea kwenye makala yetu pendwa??.
 
Hata mimi najiuliza nakosa majibu, maana nina shauku kubwa ya kujifunza. Yawezekana majukumu ya kazi yameongezeka maradufu kutoka kwa waajiri wao ndio maana wametoweka ghafla. Ila naamini watarudi tu tutaendelea. Kifyatu na yonga kimya kimezidi sana.
 
Jamani samahani sana kwa ukimya wangu. Nitaendeleza mada kutoka pale tulipofikia lakini kwa sasa nipo kwenye kipindi kizito sana kimajukumu. Nimeamua kuelekeza nguvu zangu zote huko kwa sasa. Lakini nitarudi muda si mrefu sana. Kila kitu ni salama bali ni workload yangu tu ndiyo ambayo ni nzito kidogo.

Niwieni radhi.

Kifyatu.
 
Poa mkuu....karibu na tunakusubili saaana.
 
Jamani samahani sana kwa ukimya wangu. Nitaendeleza mada kutoka pale tulipofikia lakini kwa sasa nipo kwenye kipindi kizito sana kimajukumu. Nimeamua kuelekeza nguvu zangu zote huko kwa sasa. Lakini nitarudi muda si mrefu sana. Kila kitu ni salama bali ni workload yangu tu ndiyo ambayo ni nzito kidogo.

Niwieni radhi.

Kifyatu.
Asante sana mkuu kwa kuendelea kuwa nasi japo umetingwa, karibu sana tunakusubiri
 
mkuu kuna swali kuhusu sayari zinazoizunguuka nyota ya Proxima century mana haikua moja tu inaitwa proxima B na inaaminika INA mazingiza ya kuweza kupatikana maji
 
Mkuu jua ndio nyota kubwa kuliko zote. So a sun is a star too
Msaada zaidi: just google ''Sun"
apana jua sio nyota kubwa kuliko zote,jua tuseme ni kama nyota ya kati(middle supernova) lakini kuna dwarf(nyota ndogo) na giants(supernovas)
 
Vp kuhusu mwezi nao,,nao una enegy yoyote mana mwezi pia hubadilika,siku nyingine unaouona mwekundu,siku nyingine km wa kijani fulan ya kung'aa,siku nyingne una rang nyeupe ya kufifia,wakuu mwezi una any source of energy?na nn kinafanya mwez uwe na rang na size tofaut tofauti
ipo ivi mkuu
kwanza katika anga letu ni nyota tu ndo zina uwezo wa kujizalishia mwanga na nishati kutokana na muunganiko wa hydrogen mbili zilizomo ndani yake ili kutengeneza nishati tuipatayo tofauti na hapo hakuna kitu chochote iwe ni sayari,vimondo n.k ambacho chaweza tengeneza nishati angani vyote vya akisi au kupindisha miale ya nishati itokayo juani ili vionekane,kwa kutumia ufahamu huu ni fika kabisa twaelewa mwezi wetu umetokana na kumengunyuka kwa dunia miaka billion 2 iliyopita na siku zote mtoto hurithi kwa mama kwahiyo mwezi hauna source ya energy ila energy inayoonekana ktk mwezi watokana na tabia ya mwezi kuakisi nishati toka duniani ambayo yatokea kwenye jua.
kuhusu rangi na size tofauti za mwezi kiukweli bado ni myth(hakuna uthibitisho wa kisayansi) kuhusu hilo ila kuna madai kuwa ukubwa au udogo wa mwezi ktk anga letu yatokana na namna macho yetu yatazamavyo vitu vilivo mbali na karibu,yakwamba inapotokea macho yanapoangalia vitu vilivyo mbali sana huwa yanashindwa kutambua uhusiano halisi baina ya ww ulipo na sehemu mwezi ulipo kwahiyo yanakosa utambuzi wa kuuambia ubongo saizi halisi ya kitu utazamacho(mwezi){lack of visual references} ko macho yanajenga taswira kama mwezi ni mkubwa vile na hali kama hiyo ya kukinzana yatokea tena kiasi twaona kitu ni kidogo,kuhusu kubadika kwa rangi yatokana sababu jamaa aliyoelezea hapo juu(variation of wavelength of emmited rays) na sababu nyingne ni eclipses(kupatwa kwa mwezi na kupatwa kwa jua) huwa kuna miale mingne ya mwanga haifiki duniani pale matukio haya yanapotokea ndo mana kidogo rangi inabadilika.

ni ngumu kidogo kuelezea but i have tried my level best mkuu

ni
 
Jamani samahani sana kwa ukimya wangu. Nitaendeleza mada kutoka pale tulipofikia lakini kwa sasa nipo kwenye kipindi kizito sana kimajukumu. Nimeamua kuelekeza nguvu zangu zote huko kwa sasa. Lakini nitarudi muda si mrefu sana. Kila kitu ni salama bali ni workload yangu tu ndiyo ambayo ni nzito kidogo.

Niwieni radhi.

Kifyatu.
Pole kwa majukumu mkuu na natumai familia inaendelea vyema pia. Tunakusubili
 
ipo ivi mkuu
kwanza katika anga letu ni nyota tu ndo zina uwezo wa kujizalishia mwanga na nishati kutokana na muunganiko wa hydrogen mbili zilizomo ndani yake ili kutengeneza nishati tuipatayo tofauti na hapo hakuna kitu chochote iwe ni sayari,vimondo n.k ambacho chaweza tengeneza nishati angani vyote vya akisi au kupindisha miale ya nishati itokayo juani ili vionekane,kwa kutumia ufahamu huu ni fika kabisa twaelewa mwezi wetu umetokana na kumengunyuka kwa dunia miaka billion 2 iliyopita na siku zote mtoto hurithi kwa mama kwahiyo mwezi hauna source ya energy ila energy inayoonekana ktk mwezi watokana na tabia ya mwezi kuakisi nishati toka duniani ambayo yatokea kwenye jua.
kuhusu rangi na size tofauti za mwezi kiukweli bado ni myth(hakuna uthibitisho wa kisayansi) kuhusu hilo ila kuna madai kuwa ukubwa au udogo wa mwezi ktk anga letu yatokana na namna macho yetu yatazamavyo vitu vilivo mbali na karibu,yakwamba inapotokea macho yanapoangalia vitu vilivyo mbali sana huwa yanashindwa kutambua uhusiano halisi baina ya ww ulipo na sehemu mwezi ulipo kwahiyo yanakosa utambuzi wa kuuambia ubongo saizi halisi ya kitu utazamacho(mwezi){lack of visual references} ko macho yanajenga taswira kama mwezi ni mkubwa vile na hali kama hiyo ya kukinzana yatokea tena kiasi twaona kitu ni kidogo,kuhusu kubadika kwa rangi yatokana sababu jamaa aliyoelezea hapo juu(variation of wavelength of emmited rays) na sababu nyingne ni eclipses(kupatwa kwa mwezi na kupatwa kwa jua) huwa kuna miale mingne ya mwanga haifiki duniani pale matukio haya yanapotokea ndo mana kidogo rangi inabadilika.

ni ngumu kidogo kuelezea but i have tried my level best mkuu

ni
Mkuu karibu sana usichoke kutufundisha, tuna shauku ya kujifunza zaidi. Kuna maswali mengi yapo pending mengine hayajajibiwa bado waweza kuyajibu tukiwa tunawasubiri Kifyatu na yonga
 
mkuu kuna swali kuhusu sayari zinazoizunguuka nyota ya Proxima century mana haikua moja tu inaitwa proxima B na inaaminika INA mazingiza ya kuweza kupatikana maji
Duuh hata mi nimekuwa nikifuatilia sana habari za earth like planets na hii ya proxima ipo interesting sana ikifuatiwa na kina kepler.. Kuna ile kepler 186f ambayo kwa sasa ndo earth twin
 
Wakuu mada imeishia wapi tena.. So many things keep happening.. New exoplanets zinaendelea kugunduliwa kila kukicha..
 
Back
Top Bottom