Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
thanks mkuu,na mimi nimeipendea ulaji wake wa mafutaNishakua nayo,nigari imara na nzuri ndan,boot kubwa sana,space ya kutosha na kama wewe ni mtu wa dilidili inavyumba vya siri chini ambamo unaweza kuingiza siti zote za nyuma ikabaki kama haina siti,mafuta inakunywa 15km/ltr,nilisafiri nayo kutoka bukoba kahama na speed nilkua nakimbia mpaka 170 na hakayumbi ovyo
toyota funcargo turbo
Nahii je?
nilioagiza ipo design kama hiinyingine
Kwa Matuta ya bongo utaiacha Bandarini hiyoHii itakua ni version ya US