Habari za majukumu wadau wote,
Ndugu zangu nina ushawishi mkubwa sana wa kutaka kulima zao la Shayiri kibiashara, hivyo basi naomba nifahamishwe mazingira halisi ya ukuaji wa zao hilo.
Mimi nina shamba mgombezi wilaya ya Korogwe na magoroto njia ya kuelekea amani ktk wilaya ya Muheza mkoani Tanga.