Ufahamu kuhusu zao la Shayiri

Ufahamu kuhusu zao la Shayiri

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
631
Reaction score
592
Habari za majukumu wadau wote,

Ndugu zangu nina ushawishi mkubwa sana wa kutaka kulima zao la Shayiri kibiashara, hivyo basi naomba nifahamishwe mazingira halisi ya ukuaji wa zao hilo.

Mimi nina shamba mgombezi wilaya ya Korogwe na magoroto njia ya kuelekea amani ktk wilaya ya Muheza mkoani Tanga.
 
Heshima kwenu wakuu....natamani kujua Kilimo cha Shayiri maeneo yanayostawi....zao hili...na namna kilimo chake kinavyokuwa muda...hadi kuvuna
 
Back
Top Bottom