Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

UTT Amis Bado sijawaamini hivi mfano ukitaka kuuza vipande vyako kweli itarudi au itakula kwako kama hisa za voda.
 
Nunua treasury bonds,baada ya 6 mnth unapata kuanzia 15%,tena nzuri km ukinunua bond ya 10m,10m,10m ndani ya miezi yote 12,means unawekeza 120m ktk miezi 12,so una uhakika wa kupata 1.5m kila mwezi,na ukichoka unaweza ziuza pia.Hati fungani ndio njia nzuri zaidi ya kupata pesa.Tembelea website ya bot
 
Naomba tuelimishe kaka kuhusu hili swala la hizi bonds,Mimi mwenyewe nina kahela kangu natamani sana nikakatunze huko nipate walau chochote kitu ila sijajua process ikoje.
 
Mfuko huu uko vizuri. Pamoja na ule wa Jikimu.
Mkuu tukumbushe uzuri wake ni upi. Je kwa sasa waliowekeza wanapata gawio kiasi gani kwa mwezi au mwaka?
 
MADA NZURI kuliko hata "SOGA" za ACT ,CHADEMA, CCM, MAYELE e.t.c.
 
Back
Top Bottom