kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Naomba tuelimishe kaka kuhusu hili swala la hizi bonds,Mimi mwenyewe nina kahela kangu natamani sana nikakatunze huko nipate walau chochote kitu ila sijajua process ikoje.Nunua treasury bonds,baada ya 6 mnth unapata kuanzia 15%,tena nzuri km ukinunua bond ya 10m,10m,10m ndani ya miezi yote 12,means unawekeza 120m ktk miezi 12,so una uhakika wa kupata 1.5m kila mwezi,na ukichoka unaweza ziuza pia.Hati fungani ndio njia nzuri zaidi ya kupata pesa.Tembelea website ya bot
Endelea kusikiaNasikia UTT pesa yako hairudi ukiweka eti majanga
Boss tuambie ukweli ukiwekeza hati fungani pesa utaipata kweli ukiitakaEndelea kusikia
Bado una mashaka??Boss tuambie ukweli ukiwekeza hati fungani pesa utaipata kweli ukiitaka
ndioBado una mashaka??
Mashaka yako yapo wapi?? Uliza.ndio
Mkuu tukumbushe uzuri wake ni upi. Je kwa sasa waliowekeza wanapata gawio kiasi gani kwa mwezi au mwaka?Mfuko huu uko vizuri. Pamoja na ule wa Jikimu.
Voda mwaka huu wametoa dividend Kwa wanahisa kama sijakoseaUTT Amis Bado sijawaamini hivi mfano ukitaka kuuza vipande vyako kweli itarudi au itakula kwako kama hisa za voda.
NikweliKuna madini ya kutosha hapa