Misitu na Nyuki
Member
- Mar 6, 2019
- 42
- 23
- Thread starter
-
- #41
hahaha.. unaweza ukajaribu mkuu. ni miti mingi inachangia kitu kama iko, hata huu pia inawezekana lakini wataalamu hatujafuatilia zaidi upande huu.Utuambie na mizizi yake inaongeza nguvu za kiume ili tukaichimbue vjzuri maana tumeshaujua
inategemeana mkuu na mazingira ambapo itatumika.kwenye mbaoo?!!mh mhhh...hata za matumizi ya muda mfupi nina mashaka... ...
sawa sawa inawezekana, na haujawekwa dawa mkuu?
Tuwekee picha ya huo unaoamini kuwa ndiyo wenyewe mkuu.Sio huo
Asante boss,huu mti siku hizinaona majani yake yanasagwa na kuuzwa km chakula Cha kuku.Leucaena leucocephala
View attachment 1074949
Ni mti unaosaidia kusahihisha ama kurudisha Naitrojeni katika udongo, lakini pia ni mti unaokua haraka zaidi na asili yakeni Amerika ya kusini pamoja na.